Maana mtaani ka jobless inafika anatafuta mpka intern au pa kujishikiza hata kwa 200k ,tu hapati ss unafkr TGS D hataikataa?? Mtaa mgumu sana na ukitegemea unakandwa kweny betting ni shida tupu aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kila mtu anapambana kwa jinsi anavyoona na pia ni kupunguza manyanyaso ya jobless...mtaani jobless hasaminiki aisee hata kweny vikao vya familia pamoja ka kaelimu kako uthaminiki ka ni jobless[emoji23][emoji23][emoji23]Mie Kwa kweli kazi za Chini ya halimashauri siombi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye kikao jobless unaagizwa maji kila dakika ,unabaki kujiuliza Hawa leo wamekuwa ngamia au😂Maana mtaani ka jobless inafika anatafuta mpka intern au pa kujishikiza hata kwa 200k ,tu hapati ss unafkr TGS D hataikataa?? Mtaa mgumu sana na ukitegemea unakandwa kweny betting ni shida tupu aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kila mtu anapambana kwa jinsi anavyoona na pia ni kupunguza manyanyaso ya jobless...mtaani jobless hasaminiki aisee hata kweny vikao vya familia pamoja ka kaelimu kako uthaminiki ka ni jobless[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo lazima ifike 1M+Mkuu tafadhali.
Vipi kuhusu TPGS 4 ni sawa na Tshs ngapi?
Huenda.Hiyo lazima ifike 1M+
Hatari sana mzee bb kuwa jobless ni mateso sana aisseeKwenye kikao jobless unaagizwa maji kila dakika ,unabaki kujiuliza Hawa leo wamekuwa ngamia au[emoji23]
Utani huo broOffice attendant wa KADCO anakula 1.8M
na ana cheti tu cha o'level
Sent using Jamii Forums mobile app
TBS njaa kali, mtu kutoka halmashauri kama supporting staff ndiye anyeona pengine mshahara ni mkubwa, lakini hali siyo nzuriAcha kujipa moyo binti kiziwi, ujue kuna taasisi zinazalisha pesa tena bila kutumia mtaji mfano kama TPA, EWURA, TBS n.k kwanini zisiwamwagie mishahara minono watu wake.
Laki 7 tu mkuu ....unazidiwa mpaka na kalani wa TPA mwenye certificateVipi ,salary za uhamiaji
Kumbe pakizembe labda rushwa ndio zinawabebaLaki 7 tu mkuu ....unazidiwa mpaka na kalani wa TPA mwenye certificate
Uongo, watu wenye Hela halmashauri ni wale waliokuwa kwenye idara ya ardhi,hapo ndio kwenye magumashi.Sema IT wa halimashauri wanakula hela kinoma😂😂😂😂
Dah ,Sawa mkuu laki 7 kwa level gani sasa certificate ,diploma au degreeLaki 7 tu mkuu ....unazidiwa mpaka na kalani wa TPA mwenye certificate
Degree na nyota mojaDah ,Sawa mkuu laki 7 kwa level gani sasa certificate ,diploma au degree
Wana allowance za posho kama yalivyo majeshi mengine ,,,,za katikati ya mwezi ,,,,za vinywaji wana makando kando nje ya mshaharaLaki 7 tu mkuu ....unazidiwa mpaka na kalani wa TPA mwenye certificate
Bado pesa ndogo sana hiyo Kwa taasisi Kama ewura,ega,tcra,tra,tanapaHalafu mwambie mshahara wa degree haupo constant
Kuna watu wanalamba 1.2M, 1.6M na 7K inategemeana na degree yako.
Kama umesoma ya mazingira ujue ndio utakuwa na 800K
-pambana uingie kwenye Mashirika Kama TRA, japo TRA hawaajiri vilaza kama huko kwenye majeshiWana allowance za posho kama yalivyo majeshi mengine ,,,,za katikati ya mwezi ,,,,za vinywaji wana makando kando nje ya mshahara
Inafikirisha kwamba kuna taasisi ili uingie na ukunje 2.3M inakubidi hadi uwe genius na upambane hasa-pambana uingie kwenye Mashirika Kama TRA, japo TRA hawaajiri vilaza kama huko kwenye majeshi
TBS njaa kali, mtu kutoka halmashauri kama supporting staff ndiye anyeona pengine mshahara ni mkubwa, lakini hali siyo nzuri