Wanjax jr
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 491
- 1,261
Maana mtaani ka jobless inafika anatafuta mpka intern au pa kujishikiza hata kwa 200k ,tu hapati ss unafkr TGS D hataikataa?? Mtaa mgumu sana na ukitegemea unakandwa kweny betting ni shida tupu aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kila mtu anapambana kwa jinsi anavyoona na pia ni kupunguza manyanyaso ya jobless...mtaani jobless hasaminiki aisee hata kweny vikao vya familia pamoja ka kaelimu kako uthaminiki ka ni jobless[emoji23][emoji23][emoji23]Mie Kwa kweli kazi za Chini ya halimashauri siombi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]