mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Tangu Halmashauri walazimishwe kutoa risiti za EFD kwa makusanyo yao yote, hakuna tena pesa inayozagaa halmashauri. Sana sana wanaamua kuwaonea waajiriwa wapya kutokuwalipa stahiki zao kwa ukamilifu ili wabakize za kujilipa kwa vigezo vya kutengeneza kama safari nk. Mwajiriwa mpya utaambiwa onesha tiketi ili urudishiwe nauli kama ukijikuta umeipoteza hiyo pesa wanaibakiza. Hata logic ya kawaida tu kama mtu ametoka mwanza na sasa ameripoti Tanga ni kwamba lazima alisafiri hata kama kapoteza risiti. Kuna orodha ya nauli iliyotolewa na SUMATRA kila mwajiri anayo!! Ni unyang'anyi tu unaweza kutumika kumnyima mtu nauli kwa kisingizio cha kupoteza tiketi yake!Inategemea ni kitengo Gani , kumbuka halmashauri ni TRA ndogo,
Haki nawaambia halmashauri Kuna pesa nyingi sana Zina zagaa
Ukipekua mishahara ya watu utakufa na kihoro!!Senior HR wa TPA apart from salary, anakunja 850k kama mileage allowance, 45% of his/her salary kama housing allowance, 200k meal allowance kila mwezi. Mshahara kwa mwaka ni 26M. na vichench kadhaa, you can calculate it monthly. Watu wanabwia asali.
Ni Dreva wa nani na ana miaka mingapi kazini? Hakuna Dreva katika utumishi wa umma anayepata 1,000,000/= kama kianzia mshahara kwa ajira mpya!! Lakini kwa kukaa muda mrefu kazini anaweza kufikisha hiyo milioni moja. Kuna kupotoshana sana humu.Dah, muhasibu...? Hata Driver yupo juu...!
Madereva wengi wanaanza na laki 3 mpaka Nne ispokuwa dereva mwenye safari nyingi anaweza kukunja mpaka milioni na laki 3 kwa mweziNi Dreva wa nani na ana miaka mingapi kazini? Hakuna Dreva katika utumishi wa umma anayepata 1,000,000/= kama kianzia mshahara kwa ajira mpya!! Lakini kwa kukaa muda mrefu kazini anaweza kufikisha hiyo milioni moja. Kuna kupotoshana sana humu.
Yah upotoshaji ni mbaya sana mwisho wa siku unaleta discourage tu, mambo mengine utaenda jionea hukohuko unapofika kwa mwajiri, na hii imeleta sana discourage kwa vijana waliopata asali za Mda&Lga kwa wengi wao kujiuliza maswali mengi ama wakaripoti au wasiende kuripoti kutokana na ishu hizi za mshahara, vijana wengi wana angalia kigezo hiki kimoja tu cha mshahara, wakati ajira za serikali watu wana angalia factors nyinginezo kama , security, posho , scheme za Afya nkNi Dreva wa nani na ana miaka mingapi kazini? Hakuna Dreva katika utumishi wa umma anayepata 1,000,000/= kama kianzia mshahara kwa ajira mpya!! Lakini kwa kukaa muda mrefu kazini anaweza kufikisha hiyo milioni moja. Kuna kupotoshana sana humu.
Ni Dreva wa nani na ana miaka mingapi kazini? Hakuna Dreva katika utumishi wa umma anayepata 1,000,000/= kama kianzia mshahara kwa ajira mpya!! Lakini kwa kukaa muda mrefu kazini anaweza kufikisha hiyo milioni moja. Kuna kupotoshana sana humu.
Em shusha salary za jw ndugu.1.TPDF
2.TIPIDANGA
3.JWTZ
4.BAKABAKA
5.JW
6.
7.
8.
9.
19
MTIPIDII, JEIWII... [emoji16][emoji16]1.TPDF
2.TIPIDANGA
3.JWTZ
4.BAKABAKA
5.JW
6.
7.
8.
9.
19
Kula chuma hicho....kivumbi leo- brigedia analipwa milioni 200
- meja jenerali milioni 300
- Luteni jenerali milioni 400
Lile wimbi la ma DC, RC kugombea Ubunge 2020 uliliona mkuu?Labda kama ulisikia tu,
DC mshahara anaolipwa ndio analipwa mbunge, tofauti waliyonayo ni kwenye posho tu. Hata kwa Ded ni uongo.
Unaijua Bodi ya michezo ya kubahatisha?Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Huna akili- brigedia analipwa milioni 200
- meja jenerali milioni 300
- Luteni jenerali milioni 400
Sio kweliKwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! Kasoro Ngorongoro ndio anajilipa mshahara
Sasa wewe unaandika unono, unono upi unaongelea ww
I wish hata ungefika huko keshini hizo figa ni pension au mshahara- brigedia analipwa milioni 200
- meja jenerali milioni 300
- Luteni jenerali milioni 400
Huyo alikuwa anakejeli tu mkuuI wish hata ungefika huko keshini hizo figa ni pension au mshahara
Hivi kumbe clouds fm ni taasisi? Ngoja nihame kijijini sasa
Asante dada😘😍😂Huyo alikuwa anakejeli tu mkuu
Inategemeana na BankWatu wamabenk wanalamba asali