Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wewe amka.Hvi kuna sehemu ina malupulupu(allowances) nyingi kuzidi jwtz kweli.?
Jwtz wanalipwa chenji tu sema mapolisi na askari Magereza kutwa kutwa kuwamezea mate jwtz.
Imagine kuna taasisi kima cha chini kabisa ni sh. 1.5m huyo hata diploma hana je, mshahara wa Eng. ?