Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Classmate wangu wa chuo
Kufikiri unamuamini mtu hata kama mumeisgi naye pamoja kwa muda mrefu nalo ni tatizo.

Mimi niliwahi kumkopesha jamaa ambaye tulisoma shule moja(mimi nilipokuwa Olevel, yeye alikuwa Advance), Enzi hizo za shule alikuwa ni kama Kaka yangu kutokana na care za hapa na pale shuleni.

Sasa nikiwa Chuo, yeye akiwa mtaani aliniomba nimkopeshe hela kidogo, nikampa kutoka kwenye boom.

Mwamba alinilipa nusu nyingine akalala naye mbele hadi sasa hivi ninavyoandika hii reply. Nimemdai hadi nimeacha kumdai
 
Jamaa kanipa funzo kubwa sana
 
Back
Top Bottom