Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Ila kuna watu wana pesa kuna jamaa ananiambia posho zake za Safari kwa Mwezi wa kwanza ni 1,900,000/-, salary 1,500,000/-,
Huyo ni muongo chukua hiyo hela ya safari 1,900,000/- gawa kwa siku uone kama utapata hiyo perdiem ya 170,000/- labda kama kuna kulipwa kwa siku na nusu
 
Kwenye kupiga deal inaongoza ipi? Hakika itaanza 15. Maana si kwa mateso haya
 
LATRA anakosekanaje hapa kwa mfano?? Probably kwenye Tano (5) Bora hawezi miss out. Yaani ni [emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…