Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Uongo mwingi.

Kuna mihemko mingi sana humu na watu wanatoa taarifa zisizo na uhalisia. Mfano mwingine anakomaa kabisa anasema pale per diem ni laki nane kila mwezi, unabaki hadi unajiuliza huyu mtu ameajiriwa kweli na wapi huko alipoajiriwa wanalipana subsistence allowance kwa stye hiyo? Tuendelee kuwaelemisha watu humu waache mihemko.
 
Hakuna aliyesema kwamba kuna perdiem ya laki 8 bali kuna extra duty ya laki nane.

Juwa kutofautisha posho ya safari (perdiem) na extra duty.
 
Vipi kuhusu TFS malipo yake yapoje?
 
kuna taasis na wizara kibao watu wanapiga pesa na zingine zinatumia TGS hazivumi ila wana walioko huko maisha yao sio mchezo

Wizara ya ardhi ,Hazina, bodi ya nyama, bodi ya korosho, road fund, Tume ya pamoja ya fedha, TFRA,NFRA, DCEA, IMMIGRATION, TAWA ,NFRA ,WMA nk
 
tatizo nikupata ajira huko, wengi wameangukia halmashauri za buhigwe
Halmashauri zinahitaji idadi kubwa ya watumishi kutokana na mazingira yake kuna watumishi hadi kwenye kata. Hizo taasisi zipo kitaifa zaidi na hazihitaji watumishi wengi. Hao wachache waliokuwepo ndio wanaosafiri kwenda kuhudumia mikoani
 
Bora leo umeongelea weight and measure agency

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
ivi Uhamiaji Kuna hela gani uko mnakopasifia, Hawa si wapo wizara ya mambo ya ndani mishahara si sawa tu na polisi, magereza,zimamoto, uhamiaji labda useme madili tu ila sdhani kama Kuna maisha kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…