Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Ambaye hatakuelewa hapa hatakaa aelewe tena. Kuna watu hata ajira hawana lakini wanaangaliwa na watu kibao nyuma yao.
 
Lete ushahidi
Hizo taasisi kma LATRA ,TCRA ,TANAPA officer walikuwa wanakula mpaka mil 2.9 - mpaka 3.3mil wakiwa wanaanza ila meneja pla TAA kafika sana 3.0mil tena wengi ni 2.5 Mil na posho za kwaida kama usafiri gari ya kuendeshwa ,pesa ya mawasiliano ,per diem ya 250k ..


Ila LATRA ,TCRA ,TANAPA ofisa wa kawaida anayeana ana per diem ya 250k, muda wa maongezi na posho nyingine kibao hata ya usafiri.
 
TCRA na LATRA naweza kuamini
 
Mkuu una uhakika na hizo salary za JWTZ? Mimi kuna jamaa yangu luteni alinikopa laki 1. Hivi ninavyoongea unaelekea mwezi wa tano story tupu.
Kama hiyo 2.3 ni mshahara wa luteni basi mimi kanizidi zaidi ya laki 9.
yaah 2.3 m ndio salary na benefits za luteni wa jeshi, na mwanangu yupo kikosi anga hapo dsm na majuzi juzi tu katoka kupiga Bs ya meteorogy udsm.

usiangalie mtu kakudhulumu hio huwa ni hulka na tabia ya mtu.
huku halmashauri ndio watu tunachapika haswaa ila ni afadhali kuliko kua jobless
 
Nakubali mkuu, Kuna workmate hapa nilikuwa napiganae story, ana ndugu yake engineer ambaye alitoka Halmashauri ya Tunduru kwenda TArura,, Sasa hivi maisha yake yamechange ghafla,, TARURA Kuna maokoto sana
mtumishi wa halmashauri nikama field ama intern wa serikali tu. njaa ni kali balaa
 
Nimekuelewa mkuu.
Ila hii nchi ina uonevu.
Form four anampita mshahara mtu mwenye degree.
Dahh
 
Kweli.
TAA njaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…