Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Binafsi natamani kufanya sehemu kweny mda wa kwenda field sana sio kukaa ofisini mpaka unapata magonjwa.. TARURA kutamu kutwa watu wapo site.Tarura kutamu sana... Kipindi cha nyuma walikuwa hawana ishu mishahara ilikuwa kama tamisemi tu.