Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mkuu bado unasoma maliza kwanza njoo kwenye soko la ajira utashangaa hizo option ulizozisema utazunguka maofisini mpaka mashati yachanike na chumvi uliyotota nayo kwenye jua , utasambaza CV mpaka Gmail account itajaa na utanunua space google

Amini ajira zipo lkn ni ngumu sana mpaka uwe na connection au uwe na uzoefu kwenye kazi hiyo unayoimba Kwa miaka 3 na kuendelea
 
chief mm ni mtumish wa halmashauri ya buhigwe
 
Hao dcea sijawahi ona tangazo lao la kazi.
 
Wazee mwenye connection ya kazi Kwenye hizi taasisi please and please [emoji45]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…