Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
Ili uende wapi?hapa nikupiga pepa tena utumishi aiseeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili uende wapi?hapa nikupiga pepa tena utumishi aiseeh
Si kuna zile activities za kutembelea miradi?Tatizo sio TGS. tatizo hakuna cha ziada zaidi ya mshahara
Hakuna kitu mzee uko zako wilayani unatembelea wapi sasa?
mimi kada yangu ina options nyingi naweza aplai kazi za mipango,masoko ,uchumi kwenye taasis mbalimbali za ummaIli uende wapi?
chief mm ni mtumish wa halmashauri ya buhigweMkuu bado unasoma maliza kwanza njoo kwenye soko la ajira utashangaa hizo option ulizozisema utazunguka maofisini mpaka mashati yachanike na chumvi uliyotota nayo kwenye jua , utasambaza CV mpaka Gmail account itajaa na utanunua space google
Amini ajira zipo lkn ni ngumu sana mpaka uwe na connection au uwe na uzoefu kwenye kazi hiyo unayoimba Kwa miaka 3 na kuendelea
Hao dcea sijawahi ona tangazo lao la kazi.kuna taasis na wizara kibao watu wanapiga pesa na zingine zinatumia TGS hazivumi ila wana walioko huko maisha yao sio mchezo
Wizara ya ardhi ,Hazina, bodi ya nyama, bodi ya korosho, road fund, Tume ya pamoja ya fedha, TFRA,NFRA, DCEA, IMMIGRATION, TAWA ,NFRA ,WMA nk
Upo TBS?Taasisi yangu ninayofanya kazi ipo hapo top 5, naomba nipiteshe kura ya HAPANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halmshauri mnaingia kwenye Cruizer moja watumishi 7 kwa pamoja, Engineer, mchumi, mazingira, procurement na wapambe wengine mnaenda kukagua mnarudi hakunabcha ziada. Hahahaa!
Daaah! Ni hatari sanaa...Hapo ni kucheza na fursa za kitaa tuuHakuna kitu mzee uko zako wilayani unatembelea wapi sasa?
Ofisini to nyumbani
[emoji3][emoji3][emoji3], hatari sanaaa aisee!!!Halmshauri mnaingia kwenye Cruizer moja watumishi 7 kwa pamoja, Engineer, mchumi, mazingira, procurement na wapambe wengine mnaenda kukagua mnarudi hakunabcha ziada. Hahahaa!
Nimeshangaa hapo kwenye NIRC nao wanapiga miayo!!!Halmshauri mnaingia kwenye Cruizer moja watumishi 7 kwa pamoja, Engineer, mchumi, mazingira, procurement na wapambe wengine mnaenda kukagua mnarudi hakunabcha ziada. Hahahaa!
Nahisi pana asali maana ni regulatory boardNasubiri kusikia kuhusu NACTVET
Jeiwii noma sanaVp huko kwenye sekta ya ulinzi (Majeshi).. mfano JWTZ.. Polisi, uhamihaji ipi yenye maokoto mazuri?
Hivi connection huwa zinatolewa kizembezembe namna hii?Wazee mwenye connection ya kazi Kwenye hizi taasisi please and please [emoji45]
Zinatolewaje Mkuu? Nipe mbinuHivi connection huwa zinatolewa kizembezembe namna hii?
Anaamini zinapatikana jamii forum😁😁Hivi connection huwa zinatolewa kizembezembe namna hii?