Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mkuu bado unasoma maliza kwanza njoo kwenye soko la ajira utashangaa hizo option ulizozisema utazunguka maofisini mpaka mashati yachanike na chumvi uliyotota nayo kwenye jua , utasambaza CV mpaka Gmail account itajaa na utanunua space google

Amini ajira zipo lkn ni ngumu sana mpaka uwe na connection au uwe na uzoefu kwenye kazi hiyo unayoimba Kwa miaka 3 na kuendelea
 
chief mm ni mtumish wa halmashauri ya buhigwe
 
kuna taasis na wizara kibao watu wanapiga pesa na zingine zinatumia TGS hazivumi ila wana walioko huko maisha yao sio mchezo

Wizara ya ardhi ,Hazina, bodi ya nyama, bodi ya korosho, road fund, Tume ya pamoja ya fedha, TFRA,NFRA, DCEA, IMMIGRATION, TAWA ,NFRA ,WMA nk
Hao dcea sijawahi ona tangazo lao la kazi.
 
Wazee mwenye connection ya kazi Kwenye hizi taasisi please and please [emoji45]
 
Back
Top Bottom