Upo zako unapata chai kwenye cafe ya jirani na ofisi.Ni kweli nina mshikaji wangu amepata hizi ajira mpya si haba mzee.
Anamiezi 3.
Ila safafi ya kwanza ilikuwa ya wiki 3.
Safari ya pili wiki 2
Safari ya 3 wiki 2
Unaweza ona jinsi gani kulivyo na safari.
Aisee,ni serikali hii hii ya Samia?Sasa fikiria hapo kuna per diem ya 150k per day plus na wingi wa hizo safari ndio balaaa.
Hivi ni rahisi hivyo kumbe?Upo zako unapata chai kwenye cafe ya jirani na ofisi.
Ghafla anakuja mzee wa makamu mwenye asili ya ki Asia anakuambia kua ukimsaidia kwenye ukadiriaji wa kodi atakupa Milioni 20 kama bakshishi[emoji23].
Hii hii mzeeAisee,ni serikali hii hii ya Samia?
Watakuwa wanalipwa vizuri kwa sababu ni shirika la ummaHivi tbc kwa mtu wa diploma wanalipaje..?
Mjengoni ukimaanisha IKULU au BUNGENI?Nasubiri mtu aje atoe data za uongo za mjengoni nimuumbue maana watu waongo sana humu
Mjengoni ukimaanisha IKULU au BUNGENI?
Kumbe wapi kaka?Hapana
Ajira zake zitapitia utumishi?DP world imeongezeka
DP WORLD ni private sector.Ajira zake zitapitia utumishi?
Hatari sana, wanapitia wakati mgumu watumishi wa TPADP WORLD ni private sector.
Umeona sakata la waaajiriwa wa TPA?
Wamefanyaje Chief?Hatari sana, wanapitia wakati mgumu watumishi wa TPA
.Wamefanyaje Chief?
Ewaaaa, umemaliza
Kama ni Mimi naangalia terms za Mkataba wa hapo DPW.. shida ni kwamba hakuna guarantee ya wao kumaliza 30yrs... SIASA za TZ ni shida sana anaweza kuja KIONGOZI MWINGINE akawatimua DPW. au DPW wasifike zile target wakaondolewa kisheria.. sasa hao wafanyakaz watakuwa hawana pa kwenda.. muda huo Bandar inarud kwa TPA.
Wanaanza na wafanyakazi wa TPA , mishahara yao ni mikubwa ila mda wowote unaweza kutimuliwaAjira zake zitapitia utumishi?