NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Upo zako unapata chai kwenye cafe ya jirani na ofisi.Ni kweli nina mshikaji wangu amepata hizi ajira mpya si haba mzee.
Anamiezi 3.
Ila safafi ya kwanza ilikuwa ya wiki 3.
Safari ya pili wiki 2
Safari ya 3 wiki 2
Unaweza ona jinsi gani kulivyo na safari.
Ghafla anakuja mzee wa makamu mwenye asili ya ki Asia anakuambia kua ukimsaidia kwenye ukadiriaji wa kodi atakupa Milioni 20 kama bakshishi[emoji23].