BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Unaijua mtu anayemilikisha ardhi ni nani?Nao njaa tu pangu pakavu tia mchuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaijua mtu anayemilikisha ardhi ni nani?Nao njaa tu pangu pakavu tia mchuzi
Hapo sasa nimeanza kukuelewa unaweza ongeza nyama kidogoTGS= Tanzania Government Scale
Madaraja ya mishahara kwa halmashauri na wizara zote.
Ngazi ya chini ni TGS A na juu ni TGS J.
Shukrani boss unaeza kutoa ufafanuzi kdogo zaidi pia nini tofauti ya hzo A-JTGS= Tanzania Government Scale
Madaraja ya mishahara kwa halmashauri na wizara zote.
Ngazi ya chini ni TGS A na juu ni TGS J.
TGS A wanaoanza kazi na elimu ya kidato cha nne.Shukrani boss unaeza kutoa ufafanuzi kdogo zaidi pia nini tofauti ya hzo A-J
Asante Sana boss , mishahara nayo huwa tofautiTGS A wanaoanza kazi na elimu ya kidato cha nne.
TGS B Certificate
TGS C Diploma
TGS D Degree.
Baadhi ya Degree huanza na TGS E (IT, Archtecture, CPA, Law e.t.c)
Baadae hupanda kutoka ngazi moja hadi nyingine kila baada ya miaka 3
TGS C= Laki 5+Hapa mkubwa nmekupata sanaa shukrani,, sema kujua range za mshahara halisi kwny hayo madaraja ni shuhuli nyngne pia...
Wakati mwingine serikali huwa inajitafutia kuibiwa tu,mshahara laki 7 unaishije?TGS C= Laki 5+
TGS D= Laki 7+
TGS E = 1M
TGS F= 1.28M
TGS G= 1.6M
TGS H= 2.2M
TGS I = 2.8M
Kabla ya makato
Mbn umeenda mbali mshahara wa laki tanoWakati mwingine serikali huwa inajitafutia kuibiwa tu,mahabharata laki 7 unaishije?
Duuhh kazi ipo kwakweliiTGS C= Laki 5+
TGS D= Laki 7+
TGS E = 1M
TGS F= 1.28M
TGS G= 1.6M
TGS H= 2.2M
TGS I = 2.8M
Kabla ya makato
Ndio halmashauri na wizara mishahara yetu. Degree laki 7.35. Ikikatwa hapo inabaki laki 5+Wakati mwingine serikali huwa inajitafutia kuibiwa tu,mshahara laki 7 unaishije?
Kuna gape kubwa la salary toka TGS G to H na kutoka TGS H to ITGS C= Laki 5+
TGS D= Laki 7+
TGS E = 1M
TGS F= 1.28M
TGS G= 1.6M
TGS H= 2.2M
TGS I = 2.8M
Kabla ya makato
Inabidi tuje tupitishe jicho huko isije ikawa mnapeleka kiduchu Hazina[emoji2][emoji2][emoji2]Nilipo mimi ni taasisi ya udhibiti na posho ya nyumba na nauli ni 800k kila mwezi
Kuna jamaa kaanza kazi juzi Yuko hapo kwenye ITGS C= Laki 5+
TGS D= Laki 7+
TGS E = 1M
TGS F= 1.28M
TGS G= 1.6M
TGS H= 2.2M
TGS I = 2.8M
Kabla ya makato
Lipi hilo?na hizo allowances ni kuanzia employee wa chini kabisa?Kuna shirika Fulani Housing allowance ni 950,000/-, nauli 300,000/-, extraduty 840,000/-, Salary ni 2,95,0000/-
Wapi huko.?Kuna jamaa kaanza kazi juzi Yuko hapo kwenye I
Shirika Fulani hiviWapi huko.?
Yeah allowances ni za junior officerLipi hilo?na hizo allowances ni kuanzia employee wa chini kabisa?
Ila kuna watu wana pesa kuna jamaa ananiambia posho zake za Safari kwa Mwezi wa kwanza ni 1,900,000/-, salary 1,500,000/-,
Posho yake ni 170,000/-Maana yake kila mwezi anasafiri 2 weeks.