Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

TGS= Tanzania Government Scale
Madaraja ya mishahara kwa halmashauri na wizara zote.
Ngazi ya chini ni TGS A na juu ni TGS J.
Shukrani boss unaeza kutoa ufafanuzi kdogo zaidi pia nini tofauti ya hzo A-J
 
TGS A wanaoanza kazi na elimu ya kidato cha nne.
TGS B Certificate
TGS C Diploma
TGS D Degree.
Baadhi ya Degree huanza na TGS E (IT, Archtecture, CPA, Law e.t.c)
Baadae hupanda kutoka ngazi moja hadi nyingine kila baada ya miaka 3
 
Asante Sana boss , mishahara nayo huwa tofauti
 
Back
Top Bottom