A teller
JF-Expert Member
- Feb 6, 2018
- 523
- 715
Kuna dogo ameripoti kakaa miezi 3 kaamsha TBA dar, connection yake Kali sanaTusaidiane kwenye Hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dogo ameripoti kakaa miezi 3 kaamsha TBA dar, connection yake Kali sanaTusaidiane kwenye Hilo.
TBA kuna jamaa yangu yupo hapo,japo aliingia bila connectionKuna dogo ameripoti kakaa miezi 3 kaamsha TBA dar, connection yake Kali sana
Yani hakuna ramani kabisa mkuu..TRC vumbi tu
Mkuu wewe huwezi elewa.. yani kiufupi mishahara iko chini sana, nadhani ndio shirika ambalo mishahara yake iko chini kuliko shirika lolote bongo..Miradi yote mikubwa wanayofanya alaf iwe njaa?
Mwe nipate shirika moja tu hapa umasikini kwaheri mwenye connection mwe tusaidianeTOP WA SALARY
1. TCRA
2. eGA
3. CSMA
4. SSRA
5. TMA
TOP WA MADILI
1. TRA
2. TPA
3. TBS
4. CAG
5. TAKUKURU
6. TANAPA
7. MSD
HAWAVUMI LAKINI WAMO
1. WCF
2. NHIF
3. NSSF
4. PSSSF
5. ATCL
Shirika la Madini la TaifaStamico ndo shirika gani
Hivi tba wako vizuri?TBA kuna jamaa yangu yupo hapo,japo aliingia bila connection
Scale za halmashauri hawaHivi tba wako vizuri?
hawa wanasafari pesa ipo japo salary nadhani haina utofauti na serikali kuu.Hivi tba wako vizuri?
Njaa kama zoteHivi tba wako vizuri?
Uongo mwingi.Humu ndani ukiperuzi unajiona wewe si kitu
Private ni bargaining yako tu umhiri wako katika kazi.TOP WA SALARY
1. TCRA
2. eGA
3. CSMA
4. SSRA
5. TMA
TOP WA MADILI
1. TRA
2. TPA
3. TBS
4. CAG
5. TAKUKURU
6. TANAPA
7. MSD
HAWAVUMI LAKINI WAMO
1. WCF
2. NHIF
3. NSSF
4. PSSSF
5. ATCL
Mkuu ukiona hivo muda wako bado, kuna Jamaa yangu yupo private sector alifukuzwa kazi mwaka Jana mwezi wa tisa mkoani, msahara ulikua laki 9 Gross, alilia sana, lakini siku anaondoka kazin tare 29 Sept last year, akapigiwa simu akafanye installation ya machine kwenye kiwanda kipya. Akawa alipwa elfu 90 Kwa siku,kazi ikaisha baada ya week 3, baada yahapo akaenda kufanya interview mahala akapata kazi ya mshahara laki 6. Kafanya kazi miez 4 akapata kazi nyingine kwenye depot ya Mafuta , mshahara mil 3.5, posho ya nyumba laki sita na 80, usafir laki nne Kwa mwezi.Kuna dogo ameripoti kakaa miezi 3 kaamsha TBA dar, connection yake Kali sana
Anaitwa nani huyo mkuu.TBA kuna jamaa yangu yupo hapo,japo aliingia bila connection
Huo mradi ni hasara tupu, nani atalipa nauli ya Morogoro 35000?Mkuu wewe huwezi elewa.. yani kiufupi mishahara iko chini sana, nadhani ndio shirika ambalo mishahara yake iko chini kuliko shirika lolote bongo..
Upigaji ni mkubwa mno, yani pamoja na mradi mkubwa wenye hela ila fedha za safar kulipa wafanyakazi kwenye mradi bado ni tatizo..
Kiufupi hili shirika lisipo badilishwa hii management hata huu mradi ukianza utaendelea kuingiza hasara tu
Unaweza kupata nafasi ya kuhamia hapo halafu barua yako ya kuomba kibali cha uhamisho kwa katibu mkuu utumishi ikachelewa hata mwaka mzima. Bongo kila sehemu connectionMwe nipate shirika moja tu hapa umasikini kwaheri mwenye connection mwe tusaidiane
Duuuuh hii ni balaaUnaweza kupata nafasi ya kuhamia hapo halafu barua yako ya kuomba kibali cha uhamisho kwa katibu mkuu utumishi ikachelewa hata mwaka mzima. Bongo kila sehemu connection
TBA wako vzuri ni Agency wanatumia scale za Agency kama tanroads, tarura, ruwasa.Scale za halmashauri hawa
TBA wako vzuri ni Agency wanatumia scale za Agency kama tanroads, tarura, ruwasa.
Sijajua kuhusu posho tu.