Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Miradi yote mikubwa wanayofanya alaf iwe njaa?
Mkuu wewe huwezi elewa.. yani kiufupi mishahara iko chini sana, nadhani ndio shirika ambalo mishahara yake iko chini kuliko shirika lolote bongo..
Upigaji ni mkubwa mno, yani pamoja na mradi mkubwa wenye hela ila fedha za safar kulipa wafanyakazi kwenye mradi bado ni tatizo..

Kiufupi hili shirika lisipo badilishwa hii management hata huu mradi ukianza utaendelea kuingiza hasara tu
 
TOP WA SALARY
1. TCRA
2. eGA
3. CSMA
4. SSRA
5. TMA
TOP WA MADILI
1. TRA
2. TPA
3. TBS
4. CAG
5. TAKUKURU
6. TANAPA
7. MSD
HAWAVUMI LAKINI WAMO
1. WCF
2. NHIF
3. NSSF
4. PSSSF
5. ATCL
Private ni bargaining yako tu umhiri wako katika kazi.
 
Kuna dogo ameripoti kakaa miezi 3 kaamsha TBA dar, connection yake Kali sana
Mkuu ukiona hivo muda wako bado, kuna Jamaa yangu yupo private sector alifukuzwa kazi mwaka Jana mwezi wa tisa mkoani, msahara ulikua laki 9 Gross, alilia sana, lakini siku anaondoka kazin tare 29 Sept last year, akapigiwa simu akafanye installation ya machine kwenye kiwanda kipya. Akawa alipwa elfu 90 Kwa siku,kazi ikaisha baada ya week 3, baada yahapo akaenda kufanya interview mahala akapata kazi ya mshahara laki 6. Kafanya kazi miez 4 akapata kazi nyingine kwenye depot ya Mafuta , mshahara mil 3.5, posho ya nyumba laki sita na 80, usafir laki nne Kwa mwezi.

Kwahio nisuala la muda tu, kama ukiwa upande wako utajiona mjanja.

Endelea kumuomba Mungu Kwa Iman yako.
 
Mkuu wewe huwezi elewa.. yani kiufupi mishahara iko chini sana, nadhani ndio shirika ambalo mishahara yake iko chini kuliko shirika lolote bongo..
Upigaji ni mkubwa mno, yani pamoja na mradi mkubwa wenye hela ila fedha za safar kulipa wafanyakazi kwenye mradi bado ni tatizo..

Kiufupi hili shirika lisipo badilishwa hii management hata huu mradi ukianza utaendelea kuingiza hasara tu
Huo mradi ni hasara tupu, nani atalipa nauli ya Morogoro 35000?
Magufuli was very bright ila hapa hata sijui aliwaza nini?
Bora angejenga barababara maalum kwa ajili ya malori tu kutoka bandarini moja kwa moja hadi Kongo-Zambia-Rwanda-Burundi-Uganda.
Treni ya umeme ibaki kupiga town trip za Dsm Mbagala-Kariakoo-Magomeni-Mwenge-Tegeta-Goba-Mbezi-Gongolamboto.
 
Back
Top Bottom