Hata kaposho ka laki moja kwa mwezi hakuna? Inamaa chuoni ni kukavu kuliko halmashauri maana ziko halmashauri nyingine zenye mapato watu wanakula OT hadi laki 3 kwa mwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kaposho ka laki moja kwa mwezi hakuna? Inamaa chuoni ni kukavu kuliko halmashauri maana ziko halmashauri nyingine zenye mapato watu wanakula OT hadi laki 3 kwa mwezi.
Uhamiaji hii hii ambayo kuna jamaa angu katoka kuniomba nimuazime elfu 10 muda huu au unazungumzia uhamiaji ya nchi gani?kuna taasis na wizara kibao watu wanapiga pesa na zingine zinatumia TGS hazivumi ila wana walioko huko maisha yao sio mchezo
Wizara ya ardhi ,Hazina, bodi ya nyama, bodi ya korosho, road fund, Tume ya pamoja ya fedha, TFRA,NFRA, DCEA, IMMIGRATION, TAWA ,NFRA ,WMA nk
Muongo huyo uhamiaji hakuna lolote uko.Uhamiaji hii hii ambayo kuna jamaa angu katoka kuniomba nimuazime elfu 10 muda huu au unazungumzia uhamiaji ya nchi gani?
Polisi,uhamiaji, pccb, tiss wote walewale tu 🤭Uhamiaji hii hii ambayo kuna jamaa angu katoka kuniomba nimuazime elfu 10 muda huu au unazungumzia uhamiaji ya nchi gani?
Very True! Dereva mwenye discipline anatajirika haraka mno!Mishahara sio issue sana, madereva Wana hela kuliko maofisa wa serikali
Absolutelyshida ya hizi posho na safari sio constant, anaweza akatokea boss kavurugwa anafuta zote au anawapa kidogo sana na hamna la kumfanya.....so kwa wadau ambao hamjapata kazi, mkipata kazi wekeni kwenye mindset yenu kwamba mshahara ndo haki yako, ivyo vingine lolote linaweza kutokea.
[emoji1787][emoji1787]Uhamiaji hii hii ambayo kuna jamaa angu katoka kuniomba nimuazime elfu 10 muda huu au unazungumzia uhamiaji ya nchi gani?
Sio kweli mkuu PCCB na TISS wapo juu tofauti na mambo ya ndani, ukiachana na JWTZ.Polisi,uhamiaji, pccb, tiss wote walewale tu 🤭
JWTZ Private mwenye elimu ya form four anapokea 1.1M mshahara na marupurupu, Luteni mwenye elimu ya form six anapokea 2.3M mshahara na marupurupu, sasa kama hizo nazo ni chenji basi taasisi nyingi za serikali zinalipa chenji tu mkitaka mishahara na marupurupu nendeni private sector kwenye makampuni ya madini hukoWewe amka.
Jwtz wanalipwa chenji tu sema mapolisi na askari Magereza kutwa kutwa kuwamezea mate jwtz.
Imagine kuna taasisi kima cha chini kabisa ni sh. 1.5m huyo hata diploma hana je, mshahara wa Eng. ?
Bado kuna kagape kakubwa. TPA mlinzi daraja la 3 yule entry level analipwa 1.3 na posho zake zikiwekwa pamoja ni zaidi ya mshahara.JWTZ Private mwenye elimu ya form four anapokea 1.1M mshahara na marupurupu, Luteni mwenye elimu ya form six anapokea 2.3M mshahara na marupurupu, sasa kama hizo nazo ni chenji basi taasisi nyingi za serikali zinalipa chenji tu mkitaka mishahara na marupurupu nendeni private sector kwenye makampuni ya madini huko
Mkuu una uhakika na hizo salary za JWTZ? Mimi kuna jamaa yangu luteni alinikopa laki 1. Hivi ninavyoongea unaelekea mwezi wa tano story tupu.JWTZ Private mwenye elimu ya form four anapokea 1.1M mshahara na marupurupu, Luteni mwenye elimu ya form six anapokea 2.3M mshahara na marupurupu, sasa kama hizo nazo ni chenji basi taasisi nyingi za serikali zinalipa chenji tu mkitaka mishahara na marupurupu nendeni private sector kwenye makampuni ya madini huko
Kakuzidi zaidi ya laki 9 bado anakudhuruma laki moja😁😁 nchi ngumu hii mkuu,ila yawezekana ikawa kweli labda jamaa ana mikopo hivyo kabaki na take home sisimiziMkuu una uhakika na hizo salary za JWTZ? Mimi kuna jamaa yangu luteni alinikopa laki 1. Hivi ninavyoongea unaelekea mwezi wa tano story tupu.
Kama hiyo 2.3 ni mshahara wa luteni basi mimi kanizidi zaidi ya laki 9.
Entry 1.6 mTAMESA je?Engineer ii anakunja ngapi?
Shukrani mkuu..maana sijawahi sikia km napo Kuna asaliEntry 1.6 m
Hapo ATCL nasikia aviation engineer anayeanza anakula kitu kama 3.5M hivi basic salaryTOP WA SALARY
1. TCRA
2. eGA
3. CSMA
4. SSRA
5. TMA
TOP WA MADILI
1. TRA
2. TPA
3. TBS
4. CAG
5. TAKUKURU
6. TANAPA
7. MSD
HAWAVUMI LAKINI WAMO
1. WCF
2. NHIF
3. NSSF
4. PSSSF
5. ATCL
TPA mhandisi anakunja ngap?Bado kuna kagape kakubwa. TPA mlinzi daraja la 3 yule entry level analipwa 1.3 na posho zake zikiwekwa pamoja ni zaidi ya mshahara.
TRA driver anakunja 1.5 huyo anayeanza kazi.
TPDC pesa anayolipwa Mhandisi daraja la pili unaweza kuwalipa maafisa wa ngazi ya chini wa TPDF 3.
Labda ni TAAHapo ATCL nasikia aviation engineer anayeanza anakula kitu kama 3.5M hivi basic salary
Mkuu TANAPA, TFSA, TAWA, NCAA, na taasisi nyingine zote zinazodeal na utalii na maliasili kiujumla ziko vizuriVipi kuhusu TFS malipo yake yapoje?
Bila Kuisahau TMDAkuna taasis na wizara kibao watu wanapiga pesa na zingine zinatumia TGS hazivumi ila wana walioko huko maisha yao sio mchezo
Wizara ya ardhi ,Hazina, bodi ya nyama, bodi ya korosho, road fund, Tume ya pamoja ya fedha, TFRA,NFRA, DCEA, IMMIGRATION, TAWA ,NFRA ,WMA nk