Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Yeah ndio maana nikasema kwa polisi angalau vitengo ni vingi kulinganisha na magereza, na kwenye majeshi vitengo siyo kwa ajili ya maaskari fulani tu bali askari yeyote anaweza akahamishiwa kwenye kitengo chochote muda wowote hivyo wanakula kwa kupokezana, kwahiyo wa kulalamika ni magereza ndio ambao wanakula kazi ngumu kulinganisha na maslahi yao kwanza wale hata mazingira yao ya kazi siyo mazuri sana kama polisiIla Chief sio polis wote wanapata vitengo wengine ni njaa tupu