Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Ila Chief sio polis wote wanapata vitengo wengine ni njaa tupu
Yeah ndio maana nikasema kwa polisi angalau vitengo ni vingi kulinganisha na magereza, na kwenye majeshi vitengo siyo kwa ajili ya maaskari fulani tu bali askari yeyote anaweza akahamishiwa kwenye kitengo chochote muda wowote hivyo wanakula kwa kupokezana, kwahiyo wa kulalamika ni magereza ndio ambao wanakula kazi ngumu kulinganisha na maslahi yao kwanza wale hata mazingira yao ya kazi siyo mazuri sana kama polisi
 
Tatizo sio TGS. tatizo hakuna cha ziada zaidi ya mshahara
NIRC&HALMASHAURI the same tu kwenye salary. hakuna miujiza yoyote ya posho wala nini! kuna mwanangu nimemkuta huku anauza maziwa ili asavaivu

serikali ifanye tathmin scale za watumishi wa halmashauri. wengi macho yamekua mekundu kisa stress
 
Back
Top Bottom