Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Bado kuna kagape kakubwa. TPA mlinzi daraja la 3 yule entry level analipwa 1.3 na posho zake zikiwekwa pamoja ni zaidi ya mshahara.
TRA driver anakunja 1.5 huyo anayeanza kazi.
TPDC pesa anayolipwa Mhandisi daraja la pili unaweza kuwalipa maafisa wa ngazi ya chini wa TPDF 3.
- tena madereva wana hela kuliko maofisa, kuna jamaa ni dereva ananiambia kwa mwezi wa pili Posho za safari ni 1.8+m
 
Dereva ana uwezo kupeleka private school watoto 4 na asiyumbe.
Achana na wale watumishi wanaokopa kila mwezi wa 1 ili walipie watoto ada eti kisa tu waonekane wanasomesha private school kisha wanaishi maisha ya kifukara mwaka mzima.
 
Nasikia PCCB wana posho nyingi sana maana kazi yao inafanyika katika mazingira magumu.

Wajuvi sijui mnasemaje juu ya hili.
Hakuna kitu huko mzee mshahara 1.7M bila ya makato

Posho ya kati ya mwezi 450k
Full stop.

Sasa kama ww engineer PCCB unaitumia vp field yako?

Asikwambie mtu sehemu zenye maokoto sana na taasisi zenye field work kama tanroads, tarura, ruwasa, tpa, tpdc, tanesco, tcra, Dawasa, mwauwasa, duwasa,auwsa,pura, ewura,latra na baadhi ya wizara
Kama wizara ya nishati, ujenzi na afya kwa sababu hizi wizara zinapata sana donor funds na investment.

Katika hizo taasisi nlizokutajia mtu kwa mwezi hapungui chini ya 3.5~4M kwa mwezi ndani yake zikiwemo posho ukiacha mianya pembeni ya kupiga hela.
 
Umeeleza vyema
 
"Sasa kama ww engineer PCCB unaitumia vp field yako?"

Hii una maana kua hawa watu ni desk officer tu na hawaendi field?..

By the way thanks kwa madini mkuu,it seems upo competent kwenye hizi taasisi za nchi yetu..

Moment of silent
 
Kwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! Kasoro Ngorongoro ndio anajilipa mshahara

Sasa wewe unaandika unono, unono upi unaongelea ww
Yap, hao jamaa wanapata mishahara minono sana. ni kitu kizuri kupata pesa na ni baraka kupata pesa, namshukuru Mungu mimi pia Mungu amenipa pesa na heshima kubwa. Jina la Bwana libarikiwe.

hata hivyo, hatutakiwi kujisahau, wakati wa Nuhu ilikuwa hivihivi, watu walikuwa wanakula bata, walikuwa wanaoa na kuolewa (wala sio kitu kibaya), wakiuza na kununua (wala si kitu kibaya kufanya hivyo) walikuwa wanatafuta pesa na maisha na wanafanya anasa na pesa hizo. hivyo hivyo na wakati wa Lutu kabla ya moto kuwaka, walipewa nafasi ya kutubu ila waliendelea kutegemea mambo ya dunia kuliko kumweka Mungu wa kwanza. mwisho wao sote tunaujua. Yesu alionya sana kizazi hiki kisijisahau katika shughuli zake.

Luka 17:26 – 37: YESU AKAWAAMBIA; Na kama ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa katika siku zake Mwana wa Adamu. Watu walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka, ikawaangamiza wote.

Na kadhalika, kama ilivyokuwa katika siku za LUtu, walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakinunua na kuuza, wakipanda na kujenga; lakini siku ile LUtu aliyotoka Sodoma kulinyesha moto na kibiriti kutoka mbinguni vikawaangamiza wote.

Hivyo ndivyo itakavyokuwa siku ile atakayofunuliwa Mwana wa Adamu. Katika siku ile, aliye juu ya dari, na vyombo vyake vimo ndani ya nyumba, asishuke ili kuvitwaa; na kadhalika, aliye shambani asirejee nyuma. Mkumbukeni mkewe Lutu. Mtu yeyote atakaye kuiponya nafsi yake ataiangamiza; na yeyote atakayeiangamiza ataiponya. Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa katika kitanda kimoja, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa. Wanawake wawili watakuwa wakisaga pamoja, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa. Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atatwaliwa mmoja ataachwa. Wakajibu wakamwuliza, wapi Bwana? Akawaambia, ulipo mzoga ndipo watakapokutanika tai.

Soma pia Mathayo 24:37.- 38 37 Kama ilivyokuwa wakati wa Nuhu, ndivyo itakavyokuwa atakaporudi Mwana wa Adamu. 38 Kwa maana siku zile kabla ya gharika, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Nuhu alipoingia kwenye safina.

NAKUSHAURI KWA JINA LA YESU, MPE YESU MAISHA YAKO, OKOKA LEO, MUDA UMEISHA, DUNIA ITAISHA MUDA WOWOTE, pia kama una shida, mtwike yeye shida zako uone kama hatakusaidia,Mungu anakuhitaji sana umgeukie, nafasi hii usiipoteze kwasababu hujui lini mlango utafungwa kwako. Ubarikiwe!
 
Ameeeeeeen
 
Hakuna kitu huko mzee mshahara 1.7M bila ya makato

Posho ya kati ya mwezi 450k
Full stop.

Sasa kama ww engineer PCCB unaitumia vp field yako?

Asikwambie mtu sehemu zenye maokoto sana na taasisi zenye field work kama tanroads, tarura, ruwasa, tpa, tpdc, tanesco, tcra, Dawasa, mwauwasa, duwasa,auwsa,pura, ewura,latra na baadhi ya wizara
Kama wizara ya nishati, ujenzi na afya kwa sababu hizi wizara zinapata sana donor funds na investment.

Katika hizo taasisi nlizokutajia mtu kwa mwezi hapungui chini ya 3.5~4M kwa mwezi ndani yake zikiwemo posho ukiacha mianya pembeni ya kupiga hela.
Sio haba
 
Mkuu umazungumzia TARURA na TANROADS ya Nchi Gani? Unafikiri Posho ni Kila Mwezi? Huo mishahara unajua ni sh ngapi? Hio 3.5M ni highest maximum possible tena kwa mwaka inaweza isifike Mara 3 ama Nne. Very unlikely.
Mshahara tu wa engineer II tanroads ni 2.2M hujaweka extra duty , hujaweka safari hata mbili kwa mwezi.
Hujaweka na mianya mengine ya kupata hela ( hii ndio sio siku zote)

Kufika 3.5M wanafika wale jamaa wana maisha mazuri agency zenye field kama hizo hela nje nje labda boss tu awe mkorofi kupitiliza.

Ninao washkaj zangu wapo huko life lao naliona, hela haijifichi bro kwa life la kibongo bongo.
 
Hakuna kitu huko mzee mshahara 1.7M bila ya makato

Posho ya kati ya mwezi 450k
Full stop.

Sasa kama ww engineer PCCB unaitumia vp field yako?

Asikwambie mtu sehemu zenye maokoto sana na taasisi zenye field work kama tanroads, tarura, ruwasa, tpa, tpdc, tanesco, tcra, Dawasa, mwauwasa, duwasa,auwsa,pura, ewura,latra na baadhi ya wizara
Kama wizara ya nishati, ujenzi na afya kwa sababu hizi wizara zinapata sana donor funds na investment.

Katika hizo taasisi nlizokutajia mtu kwa mwezi hapungui chini ya 3.5~4M kwa mwezi ndani yake zikiwemo posho ukiacha mianya pembeni ya kupiga hela.
Uko sahihi
 
Mshahara tu wa engineer II tanroads ni 2.2M hujaweka extra duty , hujaweka safari hata mbili kwa mwezi.
Hujaweka na mianya mengine ya kupata hela ( hii ndio sio siku zote)

Kufika 3.5M wanafika wale jamaa wana maisha mazuri agency zenye field kama hizo hela nje nje labda boss tu awe mkorofi kupitiliza.

Ninao washkaj zangu wapo huko life lao naliona, hela haijifichi bro kwa life la kibongo bongo.
Basi Mkuu nikuambie, mambo hayako Hivo Kabisa, mtu akiwa nje anaweza kuona watu wanapiga Hela kinoma. Bahati Mbaya sana suffering kupo ingawa si sawa na wengine. 4M ni Hela nyingi sana.. ingawa inatokea but rarely tena kwa watu wachache.

Madeal mengine ni Mpaka wale jamaa zetu walipike.
 
Jukwaa hili mtazamo wake ni mzuri sana ila njia imekuwa sio miluzi mingi mpaka kuchanganyikiwa, nadhani kwa asiyefahamu sehemu kwa undani angetulia watu tukapata madini stahiki
 
Back
Top Bottom