Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Kama ni Bima Obvious itakuwa na maslahi
20240317_171220.jpg

Bila shaka unalijua hili shirika
 
View attachment 2937325
Bila shaka unalijua hili shirika
Ni moja ya mashirika ya umma yanayotengeneza faida, tenda nyingi wanazipata serikalini maslahi Yao ni mazuri sana tu.

Na ndomana ndo shirika namba moja shirika ambalo lipo vizuri maana Wana compete na private insurance company, linaongoza kwa sababu biashara zote za serikalini wanapambana na ZIC.
 
Huwa yanayaona majengo yake mikoani yalivyokula chumvi.

Hilo jengo la Posta ndio babu kubwa, nimeangalia website yao, ni shirika la tangu enzi za Mwalimu, lishajichimbia mizizi minene kwenye uwanja wa biashara
 
Ni moja ya shirika kongwe sana hapa nchini
 
Mkuu umazungumzia TARURA na TANROADS ya Nchi Gani? Unafikiri Posho ni Kila Mwezi? Huo mishahara unajua ni sh ngapi? Hio 3.5M ni highest maximum possible tena kwa mwaka inaweza isifike Mara 3 ama Nne. Very unlikely.
TANROADS kuna madeal kibao ,watumishi wanavikampuni uchwara wameandikisha ndugu zao .Ukipita mabarabarani wafyeka nyasi,waziba viraka ni staff wa mumo kwa mumo.Kupitisha malipo na tender wanakunja mpunga si wa kitoto.
 
Siri ya mashirika yenye mishahara midogo ni hizi

1.Mashirika yaliyoundwa miaka ya zamani mwanzoni mwa 2000 kurudi nyuma mpaka miaka ya 90...haya mashirika wengi waliingi na elimu ndogo na connection ukisoma cv zao vina viraka watumishi wengi watu walipata four wengine zero ila wajiendeleza mpaka kufika juu ...Mbaya ni hao sasa wapo juu ya management hawawezi kudai maslahi makubwa hata kidogo kwa vile hawana uwezo huo ,Magufuli aliwatisha sana maana baadhi aliwatoa kwa vyeti feki.

2.Shirika kuwa na idadi kubwa ya wafanyakazi ,unakuta lina wafanyakazi kama 500 na kuendelea , sio shirika nzuri kwa vile usambazaji wa posho tu unakuwa na gharama kubwa mno ..Tafuta shirika hawa yana watu wachache hata mzunguko wa safari ni mdogo ,unajikuta kila mwezi upo kweny kazi za nje.

3.Uwezo wa shirika katika kukusanya mapato ya ndani ,labda ni mamlaka kama TPA ,EWURA sio mnaona wanavyokusanya pesa basi tambua pesa za ndani zipo ,hapo Dar halmashauri zinakusanya pesa ndefu basi kuna pesa wanagawana kama posho ni tofauti ukienda wilaya za shinyanya ,singida ,kigoma
 
"Sasa kama ww engineer PCCB unaitumia vp field yako?"

Hii una maana kua hawa watu ni desk officer tu na hawaendi field?..

By the way thanks kwa madini mkuu,it seems upo competent kwenye hizi taasisi za nchi yetu..

Moment of silent
Wanapelekwa kwenye miradi ya ujenzi ya serikali kutathmini kujua kama kuna ubadhirifu kwa kutumia taaluma yako au unafikiri wao investigation za kitaalamu wanazifanya kwa kutumia watu gani?
 
Watanzania mna safari ndefu sana.

Nimepitia maoni mengi tafsiri ya mshahara mkubwa uwepo wa mianya mingi na dili nyngi za ujanja ujanja & wizi.

Kila mtu anapatolea mate kwenye taasisi tajwa , kibaya zaidi 95 % ya taaasisi tajwa ndio zinaozoongoza kwa huduma mbovu sana ama kweli hiyo nchi kuendelea ni kazi.

Maana kila mtu anatamani aibe kadiri awezavyo akipata upenyo.
 
Back
Top Bottom