BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Kama ni Bima Obvious itakuwa na maslahiNIC(Shirika la Bima) maslahi yakoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni Bima Obvious itakuwa na maslahiNIC(Shirika la Bima) maslahi yakoje
Kama ni Bima Obvious itakuwa na maslahi
Hapo kuna asali mzee.NIC(Shirika la Bima) maslahi yakoje
Ni moja ya mashirika ya umma yanayotengeneza faida, tenda nyingi wanazipata serikalini maslahi Yao ni mazuri sana tu.View attachment 2937325
Bila shaka unalijua hili shirika
Huwa yanayaona majengo yake mikoani yalivyokula chumvi.Ni moja ya mashirika ya umma yanayotengeneza faida, tenda nyingi wanazipata serikalini maslahi Yao ni mazuri sana tu.
Na ndomana ndo shirika namba moja shirika ambalo lipo vizuri maana Wana compete na private insurance company, linaongoza kwa sababu biashara zote za serikalini wanapambana na ZIC.
Ni moja ya shirika kongwe sana hapa nchiniHuwa yanayaona majengo yake mikoani yalivyokula chumvi.
Hilo jengo la Posta ndio babu kubwa, nimeangalia website yao, ni shirika la tangu enzi za Mwalimu, lishajichimbia mizizi minene kwenye uwanja wa biashara
TANROADS kuna madeal kibao ,watumishi wanavikampuni uchwara wameandikisha ndugu zao .Ukipita mabarabarani wafyeka nyasi,waziba viraka ni staff wa mumo kwa mumo.Kupitisha malipo na tender wanakunja mpunga si wa kitoto.Mkuu umazungumzia TARURA na TANROADS ya Nchi Gani? Unafikiri Posho ni Kila Mwezi? Huo mishahara unajua ni sh ngapi? Hio 3.5M ni highest maximum possible tena kwa mwaka inaweza isifike Mara 3 ama Nne. Very unlikely.
Hakuna shirika la Bima lenye mishahara midogo ,hata wanabalance tu kama mshahara chini ya 2mil basi posho za kutoshaNIC(Shirika la Bima) maslahi yakoje
Sio poaHakuna shirika la Bima lenye mishahara midogo ,hata wanabalance tu kama mshahara chini ya 2mil basi posho za kutosha
Wana viwango vidogo namjua jamaa ana masters hapo analipwa 2.2mil ana miaka zaidi ya 14 kazini .Je TAA wakoje...?
Wanapelekwa kwenye miradi ya ujenzi ya serikali kutathmini kujua kama kuna ubadhirifu kwa kutumia taaluma yako au unafikiri wao investigation za kitaalamu wanazifanya kwa kutumia watu gani?"Sasa kama ww engineer PCCB unaitumia vp field yako?"
Hii una maana kua hawa watu ni desk officer tu na hawaendi field?..
By the way thanks kwa madini mkuu,it seems upo competent kwenye hizi taasisi za nchi yetu..
Moment of silent
Stick uliko kakaNIC(Shirika la Bima) maslahi yakoje
Unamaanisha ni kwamba shirika la bima hakuna ishu?Stick uliko kaka
Duh kumbe pakichov sanaWana viwango vidogo namjua jamaa ana masters hapo analipwa 2.2mil ana miaka zaidi ya 14 kazini .
Pia sio pazuri kwa vile ni shirika la mda sana, hawana field wala nn ,hata training unaweza kosa mwaka mzima .