huyo nae anafowadi tu hana facts, utaskia kasema Enyimba inashiriki
SUPER LEAGUE YALETWA AFRIKA
Kutoka jijini Arusha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) leo Agosti 10,2022 limezindua rasmi mashindano mapya ya Africa Super League yatakayoshirikisha vilabu 24 kutoka Mataifa 16 tofauti ya kanda tatu za kisoka Afrika huku kila ukanda ukitoa vilabu 8
CAF imepitisha uamuzi huo kupitia Mkutano wake Mkuu wa kawaida wa 44 unaofanyika jijini Arusha Tanzania.
Bingwa wa michuano hiyo atavuna zaidi ya bilioni 233 za Tanzania.
Tanzania itawakilishwa na Simba SC iliyothibitishwa kushiriki kwenye michuano hiyo inayotarajiwa kufanyika kila mwaka.
Utaratibu rasmi wa michuano hiyo utatangazwa na CAF hivi karibuni.
Vilabu 24 vitakavyoshiriki CAF Super League
1 Al Ahly
2 Zamalek
3 Pyramid
4 Al Masry
5 Wydad AC 6 Raja Athletic
7 RS Berkane
8 Esperance
9 Etoil Sportive Du Suhel
10 Orlando Pirates
11 Kaizer Chiefs
12 Mamelodi Sundowns
13 JS Kabyile
14 CR Belouzidad
15 E.S Setif
16 TP Mazembe 2 17 Horoya AC
18 SC Enyimball
19 Petro de Luanda
20 Simba SC
21 Asante Kotoko
22 Al Hilal
23 Asec Mimosas
24 Coton Sport
[emoji599]SUPER CUP 2023.
Timu ya Wananchi Yanga imepata nafasi ya kushiriki michuano ya Super cup [emoji471] mwakani.Yanga itaungana na timu za.
[emoji843]Al ahly (Misri)[emoji966][emoji471]
[emoji843]Zamelek (Misri)[emoji966][emoji471]
[emoji843]Mamelodi sundown (Afrika ya kusini)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Orlando pirates (Afrika ya kusini)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Wydad Casablanca (Morocco)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Raja Casablanca (Morocco)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Rs berkane (Morocco)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Yanga sc (Tanzania)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Simba sc (Tanzania)[emoji1666]
[emoji843]Tp mazembe ( Dr Congo)[emoji2422][emoji471]
NB:Kuna watu walikuwa wanasema Yanga hawezi kushiriki Super cup [emoji471] [emoji1787]Sasa mnajiskiaje baada ya kupata hii habari leo kuwa wababe wenu wa muda wote watakuwepo kupeperesha bendera ya Tanzania [emoji1241].
[emoji599]Halafu unaambiwa pesa ambayo Yanga watabeba baada ya kuchukua [emoji471][emoji2422][emoji2422]zao ni zaidi ya zile za mwekezaji Mudy[emoji1787]
Aibu yako hiiHizi ndio Timu 10 ambazo zimekua confirmed Zitashiriki Super League Mwakani
1. Al Ahly
2. Zamalek SC
3. Mamelodi Sundowns
4. Orlando Pirates
5. Wydad AC
6. Raja CA
7. RS Berkane
8. Yanga SC
9. Simba SC
10. TP Mazembe
Timu 14 zitaongezwa hapo baadae #AfricaSuperLeague
View attachment 2320121
Haya mashindano yasinge noga bila Uwepo wa Yanga SC.
Kwa mujibu wa mickjnr na sio cafHizi ndio Timu 10 ambazo zimekua confirmed Zitashiriki Super League Mwakani
1. Al Ahly
2. Zamalek SC
3. Mamelodi Sundowns
4. Orlando Pirates
5. Wydad AC
6. Raja CA
7. RS Berkane
8. Yanga SC
9. Simba SC
10. TP Mazembe
Timu 14 zitaongezwa hapo baadae #AfricaSuperLeague
View attachment 2320121
Haya mashindano yasinge noga bila Uwepo wa Yanga SC.
kanda 3 kila kanda inatoa timu 8 tuSUPER LEAGUE YALETWA AFRIKA
Kutoka jijini Arusha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) leo Agosti 10,2022 limezindua rasmi mashindano mapya ya Africa Super League yatakayoshirikisha vilabu 24 kutoka Mataifa 16 tofauti ya kanda tatu za kisoka Afrika huku kila ukanda ukitoa vilabu 8
CAF imepitisha uamuzi huo kupitia Mkutano wake Mkuu wa kawaida wa 44 unaofanyika jijini Arusha Tanzania.
Bingwa wa michuano hiyo atavuna zaidi ya bilioni 233 za Tanzania.
Tanzania itawakilishwa na Simba SC iliyothibitishwa kushiriki kwenye michuano hiyo inayotarajiwa kufanyika kila mwaka.
Utaratibu rasmi wa michuano hiyo utatangazwa na CAF hivi karibuni.
Vilabu 24 vitakavyoshiriki CAF Super League
1 Al Ahly
2 Zamalek
3 Pyramid
4 Al Masry
5 Wydad AC 6 Raja Athletic
7 RS Berkane
8 Esperance
9 Etoil Sportive Du Suhel
10 Orlando Pirates
11 Kaizer Chiefs
12 Mamelodi Sundowns
13 JS Kabyile
14 CR Belouzidad
15 E.S Setif
16 TP Mazembe 2 17 Horoya AC
18 SC Enyimball
19 Petro de Luanda
20 Simba SC
21 Asante Kotoko
22 Al Hilal
23 Asec Mimosas
24 Coton Sport
Sasa ilo kimba hapo kwenye nane linajaza nzi tu halihitajikiHizi ndio Timu 10 ambazo zimekua confirmed Zitashiriki Super League Mwakani
1. Al Ahly
2. Zamalek SC
3. Mamelodi Sundowns
4. Orlando Pirates
5. Wydad AC
6. Raja CA
7. RS Berkane
8. Yanga SC
9. Simba SC
10. TP Mazembe
Timu 14 zitaongezwa hapo baadae #AfricaSuperLeague
View attachment 2320121
Haya mashindano yasinge noga bila Uwepo wa Yanga SC.
Hizi ndio Timu 10 ambazo zimekua confirmed Zitashiriki Super League Mwakani
1. Al Ahly
2. Zamalek SC
3. Mamelodi Sundowns
4. Orlando Pirates
5. Wydad AC
6. Raja CA
7. RS Berkane
8. Yanga SC
9. Simba SC
10. TP Mazembe
Timu 14 zitaongezwa hapo baadae #AfricaSuperLeague
View attachment 2320121
Haya mashindano yasinge noga bila Uwepo wa Yanga SC.
[emoji44][emoji44][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Mbona Sisi Yanga hatupo, TFF ituonee hata CAF nao watuonee? This is not fair !!!! Twendeni FIFA kushitaki huu ujinga lazima ufike mwisho
"BINGWA CAF SUPER LEAGUE KUVUNA DOLA MILION 100 "
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa ilo kimba hapo kwenye nane linajaza nzi tu halihitajiki