denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Timu 24 ndizo zinatakiwa kuchukuliwa kwenye hayo mashindano, mpaka kufika sasa, timu 20 bora za CAF rankings zinafahamika, hata kama ukiongeza nne zilizobaki kutoka kwenye hiyo ranking, utopolo hampo, wacha uongo wako.
Labda muingizwe kwa vigezo vingine kama idadi ya mashabiki, uwekezaji, n.k. Lakini napo ikitokea timu nyingine za Afrika ambazo hazipo kwenye hiyo 24 bora zikawa na sifa hapo juu zaidi yenu, utopolo mtakuwa mmeliwa.