Hizi ndio zilikuwa enzi

Hizi ndio zilikuwa enzi

Hahaha tumo wengi humu
Niliishi Hapo Milambo A '' karibu na ofisi ya Kilimo! Mkuu baada ya mgomo nikahamia Kaitaba, chini ya usimamizi wa Mrs Kashagate huyu nadhani atakuwa mzee sasa! .. teachers team! Seguasegua, Hoza, Kafaransa, who can tell, daa! Fundalmental quantity bado bado kijana, nilimuona JNIA-one day anakwea pipa ughaibuni, but alipofika Kigali akabadilisha. Avogadro?

Nyamshongoma river kama kawa! kula vibaragara kwa sana ndo zilikuwa zetu, sijawahi kuviona huku mtaani, isipo kuwa sehemu moja tu Mjini Western Maseru, mitaa ya Khubsoana, Ofisi yangu kuu ilikuwa Store yuko wapi kiranja wangu wa Bwalo, Turuhaga babishekirao! Mnyambisi?

Ila wellcome Form one Disco theque chini ya One way Disco sound, ilinitoa ushamba sana! Mkuu sikujua hata kucheza! aaah! yaani zero distance niliiogopa!
 
Hatari sana alikuwa anaendesha dreva mmoja anaitwa mhuza
... wale madereva wa enzi zile wote walikuwa kwa kazi maalumu zaidi ya udereva. Halafu walikuwa na power balaa; baada ya head teacher, walikuwa next kwa mamlaka shuleni.
 
Niliishi Hapo Milambo A '' karibu na ofisi ya Kilimo! Mkuu baada ya mgomo nikahamia Kaitaba, chini ya usimamizi wa Mrs Kashagate huyu nadhani atakuwa mzee sasa! .. teachers team! Seguasegua, Hoza, Kafaransa, who can tell, daa! Fundalmental quantity bado bado kijana, nilimuona JNIA-one day anakwea pipa ughaibuni, but alipofika Kigali akabadilisha. Avogadro?

Nyamshongoma river kama kawa! kula vibaragara kwa sana ndo zilikuwa zetu, sijawahi kuviona huku mtaani, isipo kuwa sehemu moja tu Mjini Western Maseru, mitaa ya Khubsoana, Ofisi yangu kuu ilikuwa Store yuko wapi kiranja wangu wa Bwalo, Turuhaga babishekirao! Mnyambisi?

Ila wellcome Form one Disco theque chini ya One way Disco sound, ilinitoa ushamba sana! Mkuu sikujua hata kucheza! aaah! yaani zero distance niliiogopa!
Dah! Hatari sana, Nyakato moja hii.
 
Back
Top Bottom