Hizi ndiyo sababu kuu maalumu zinazonifanya niamini Simba Sc haitachukua ubingwa wa NBCPL 2024/2025

Mkuu una uhakika na hayo unayoyasema
 
Kwa hiyo unataka kusema hakutakuwepo tena na visingizio iwapo ubingwa utakosekana kwa mara ya 4 mfululizo! Maduka yote si yamefurushwa?
Mkuu , nakuhakikishia mwaka huu kila tundu la amfibia litatoa milio ya pwiii na fwiii! Tunza hii listi
 
No.4 ndo kubwa kuliko.
 
Simba hao watu wazito hawapo? Unadhani ni kwanini hawaji ?
 
Sio mipovu tatizo NALIA NGWENA kaacha nyuzi za kuishauri Uto Anakuja eti anaamini Mnyama hatochukua ubingwa ye NANI? Akafie mbele huko
😁
Mkuu umeongea kwa hisia sana pole sana mkuu
 
Ona sasa.
 
Simba hawawezi kuwa mabingwa mbele ya timu yenye uhakika wa points kwa timu zinazomsadishia njia kwenye ligi,timu inayohonga marefa. Yanga lazima watambe sana wataachaje wakati wanatembeza bahasha
 
Simba hawawezi kuwa mabingwa mbele ya timu yenye uhakika wa points kwa timu zinazomsadishia njia kwenye ligi,timu inayohonga marefa. Yanga lazima watambe sana wataachaje wakati wanatembeza bahasha
Una uhakika mkuu
 
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…