Uchaguzi 2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

Asante sana,na kuitazama kwa makini wapinzani wa Magufuli wengi wako mitandaoni tu...ila sisi wa chini tunaona alikotutoa
Umeficha ID ila upuuzi haufichiki
 
Una mtazamo kama wangu kabisa. Nahisi unaongea niliyoyaona hata kabla ya uchaguzi...ukiingia twitter utahisi upo nchi tofauti kabisa. Mpaka nimeamua kujitoa kabisa mana ni chuki tu zinapandikizwa👏👏👏
Umekimbia ukweli
 
MAGUFULI HAKUSHINDA


NIONYESHE MTU MMOJA ALIYESHANGILIA AU KUNDI USHINDI HUO


USHINDI GANI NCHI KAMA INA MSIBA
 

"Wizi" kama sababu imo?

Mkuu naomba kuuliza kwanza hilo kabla sijasoma hii makala yako ndefu.
 
Kama wewe unavyounga mkono upinzani na mabeberu wao.
 
Nitafanyaje wakati mkuu wa majeshi ni msukuma mwenzake na mkuu wa polisi wote Kanda ya ziwa pia na mkuu wa TISS. Yeye kuua anaona kitu Cha kawaida kwa ajiri ya madaraka halafu anaona mungu ni binamu yake
Mbona na wewe ni kanda ya ziwa au unadhani hatukujui..tunaona hizo rrrrrr siyo za popote zaidi ya Mara na huko ndiyo kumejaa upinzani ingawaje kila mara Mbowe anawapiga chini. Ninyi mnamsema Magufuli kuhusu Lissu mbona mnamsahau Chacha Wangwe kuhusu Mbowe. Ulimwengu mzima unajuwa jinsi Mbowe alivyohusika na kifo cha Chacha Wangwe.
 
Unajitambua kweli wewe? Kwa hiyo unakubali 2015 kulikuwa na wizi
Wizi upo toka 1995 aliposhinda Mrema lakini bado hajaweza kufanya lolote.
 
1.NEC
2.NEC
3.NEC

Usalama/Police hao ni Subset ya hapo juu.
 
Kawakosea nini hao mabeberu mpaka wampe kikwazo? Hii ni tofauti na Zimbabwe bob. Tuna mali nyingi sana nchii ambazo mabeberu wanazitaka,waweke vikwazo tukimbilie China na Urusi.
Now it's all about diplomatic win win situation
Wakiweka vikwazo watapata wapi izo malighafi
 
Uwongo mtupu but skulaumu mana mfa maji haishi kutapatapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…