Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
REA upo hakutakuwa na shida.ule umeme wa KAMPENI vijijini uko wapi!
Tatizo la Tazara ni ownership structure ndio inayosumbua ktk mgt.Mi naomba niongezee swali
Je kinachotushinda kuiendesha TAZARA kwa ufanisi kimepata ufumbuzi na kwamba changamoto za TAZARA hazita kuwepo kwa hiyo ya umeme?
Mi naomba niongezee swali
Je kinachotushinda kuiendesha TAZARA kwa ufanisi kimepata ufumbuzi na kwamba changamoto za TAZARA hazita kuwepo kwa hiyo ya umeme?
Na TRL ambayo tunaimiliki 100% mbona nayo hali yake ni tia maji tia maji?Mfumo wa kuendesha TAZARA ni mgumu kwani wa Zambia ndiyo huwa on top na Tanzania wanabaki wasaidizi. Lazima wskubaliane mikataba ibadilishwe kwanza
Kama TRL hakuna wazalendo; serikali itapata wapi wazalendo wa kuendesha hiyo ya umeme? Au itakodi wazalendo toka nje ya nchi?Tatizo la Tazara ni ownership structure ndio inayosumbua ktk mgt.
Tatizo la TRL ni kuwa hakuna uzalendo
😱Labda wataweka hirizi
Kwanza umedhalilisha kabila la wamasai kana kwamba ndo wafugaji peke yao, pili umelinganisha dunia ya tatu na nchi zilizoendelea kwenye mambo ya reli. Kumbuka kila mahali ambapo kuna reli nchi za wenzetu kuna daraja kama flyover ambayo wenda kwa mguu au magari yanapita juu yake au chini ya daraja. Je sisi tumeshaandaa haya? Mtu unatenganishwa na shamba lako na hujajengewa daraja la kuvuka utafanyaje? Waandae miundo rafiki kwa kila mtu wafugaji, waenda kwa mguu, magari ili reli ibaki salama na taa zisisahaulike.Serikali ina wazo zuri.
Serikali imeamua kuleta maendeleo hasa miundombinu ya usafiri.
Mradi wa treni ya mwendokasi Dar Moro ambayo itakuwa inasafiri kwa speed ya 160 km/hr ni idea nzuri sana.Tatizo la mradi huu ni :-
1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (????)
2. Reli zetu haziko secured huko maporini.Raia wengi huchezea ama kwa kunyofoa vyuma vya reli au kutakua au kugongo-gonga. Hasa wafugaji wakiwa na mbuzi zao huko porini reli inakokatiza.
Serikali ijipange kushughulikia mambo haya makubwa mawili. Otherwise treni inaweza safiri kwa hiyo speed then katikati ya pori unakuta wamasai wamenyofoa vyuma vya reli.Au hata mafuriko tu kama kule Godegode Kongwa.
Ambao mmesafiri nchi za Ulaya mtakuwa mmeona namna reli za wenzetu zinavyochekiwa mara kwa mara kwa sensors na pia zimekuwa protected ili zisiingiliwe na wavamizi.