Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Good observation,1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (????)
2. Reli zetu haziko secured huko maporini.Raia wengi huchezea ama kwa kunyofoa vyuma vya reli au kutakua au kugongo-gonga. Hasa wafugaji wakiwa na mbuzi zao huko porini reli inakokatiza.
Serikali ijipange kushughulikia mambo haya makubwa mawili. Otherwise treni inaweza safiri kwa hiyo speed then katikati ya pori unakuta wamasai wamenyofoa vyuma vya reli.Au hata mafuriko tu kama kule Godegode Kongwa.
Ambao mmesafiri nchi za Ulaya mtakuwa mmeona namna reli za wenzetu zinavyochekiwa mara kwa mara kwa sensors na pia zimekuwa protected ili zisiingiliwe na wavamizi.
1. Umeme upo.
2. Reli ya mwendokasi inapigwa uzio mwanzo mwisho, ila kuna vivuko vya watu na mifugo maeneo yote ya vijiji inamopita.
Changamoto zangu ni hizi.
- Ili reli ilete faida, ni iwapo itasafirisha mizigo na sio abiria, kwa hii phase route ya Dar-Moro bado haitakuwa na cargo ya kutosha kushibisha reli.
- Kwa vile tumekuwa na a meter gauge rail, its cheap, easy to run, no security risks lakini tumeshindwa kuiendesha, what are the chances kwa SGR, sophisticated, very expensive to run, and maintain, needs expertise, security risks?.
- Ili reli hii ishibe, inahitaji mzigo wa kufa mtu, sasa kwa pace yetu hii ya bandari yetu, kwa mzigo gani wa kupakiwa kwenye SGR ili izalishe faida?.
- Kwa maoni yangu at the moment SGR ya Dar-Moro-Dodoma itakuwa ni white elephant, hadi itakapokamilika SGR ya Isaka kuelekea Burudi, ile ya Mwanza ya Uganda, Kigoma kwa mizigo ya DRC na ya Tanga, kutoka bandari, kuvusha mizigo, ndio maana sisi tunapendekeza huyu jamaa aachwe tuu kwa miaka 20 ili akamalishe miradi mikubwa hii.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
Paskali