Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Good observation,1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (????)
2. Reli zetu haziko secured huko maporini.Raia wengi huchezea ama kwa kunyofoa vyuma vya reli au kutakua au kugongo-gonga. Hasa wafugaji wakiwa na mbuzi zao huko porini reli inakokatiza.
Serikali ijipange kushughulikia mambo haya makubwa mawili. Otherwise treni inaweza safiri kwa hiyo speed then katikati ya pori unakuta wamasai wamenyofoa vyuma vya reli.Au hata mafuriko tu kama kule Godegode Kongwa.
Ambao mmesafiri nchi za Ulaya mtakuwa mmeona namna reli za wenzetu zinavyochekiwa mara kwa mara kwa sensors na pia zimekuwa protected ili zisiingiliwe na wavamizi.
Nchi imejaa wanafiki na wasaliti, top down.Tatizo la Tazara ni ownership structure ndio inayosumbua ktk mgt.
Tatizo la TRL ni kuwa hakuna uzalendo
Good observation,
1. Umeme upo.
2. Reli ya mwendokasi inapigwa uzio mwanzo mwisho, ila kuna vivuko vya watu na mifugo maeneo yote ya vijiji inamopita.
Changamoto zangu ni hizi.
Paskali
- Ili reli ilete faida, ni iwapo itasafirisha mizigo na sio abiria, route ya Dar-Moro haina cargo ya kutosha kushibisha reli.
- Tumekuwa na a meter gauge rail, its cheap, easy to run, no security risks lakini tumeshindwa kuiendesha, what are the chances kwa SGR, sophisticated, very expensive to run, and maintain, needs expertise, security risks?.
- Ili reli hii ishibe, inahitaji mzigo wa kufa mtu, sasa kwa pace yetu hii ya bandari yetu, kwa msigo gani wa kupakiwa kwenye SGR ili izalishe faida?.
- Kwa maoni yangu SGR ya Dar-Moro-Dodoma ni white elephant, SGR ya faida ni ile itakayofika Isaka, Mwanza na Kigoma na Tanga, kutoka bandari, kuvusha mizigo.
Kuhusu vandalism ya infrastructure ni kweli inabidi iangaliwe kwa makini. Ila, cha muhimu zaidi ni power availability, power quality- umeme ambao flow yake iko stable, na pia kama tutatumia umeme kusafirisha abiria toka Morogo kuja Dar gharama yake itakuwa affordable na wananchi wengi wa kawaida?Serikali ina wazo zuri.
Serikali imeamua kuleta maendeleo hasa miundombinu ya usafiri.
Mradi wa treni ya mwendokasi Dar Moro ambayo itakuwa inasafiri kwa speed ya 160 km/hr ni idea nzuri sana.Tatizo la mradi huu ni :-
1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (????)
2. Reli zetu haziko secured huko maporini.Raia wengi huchezea ama kwa kunyofoa vyuma vya reli au kutakua au kugongo-gonga. Hasa wafugaji wakiwa na mbuzi zao huko porini reli inakokatiza.
Serikali ijipange kushughulikia mambo haya makubwa mawili. Otherwise treni inaweza safiri kwa hiyo speed then katikati ya pori unakuta wamasai wamenyofoa vyuma vya reli.Au hata mafuriko tu kama kule Godegode Kongwa.
Ambao mmesafiri nchi za Ulaya mtakuwa mmeona namna reli za wenzetu zinavyochekiwa mara kwa mara kwa sensors na pia zimekuwa protected ili zisiingiliwe na wavamizi.
Good observation,
1. Umeme upo.
2. Reli ya mwendokasi inapigwa uzio mwanzo mwisho, ila kuna vivuko vya watu na mifugo maeneo yote ya vijiji inamopita.
Changamoto zangu ni hizi.
Paskali
- Ili reli ilete faida, ni iwapo itasafirisha mizigo na sio abiria, route ya Dar-Moro haina cargo ya kutosha kushibisha reli.
- Tumekuwa na a meter gauge rail, its cheap, easy to run, no security risks lakini tumeshindwa kuiendesha, what are the chances kwa SGR, sophisticated, very expensive to run, and maintain, needs expertise, security risks?.
- Ili reli hii ishibe, inahitaji mzigo wa kufa mtu, sasa kwa pace yetu hii ya bandari yetu, kwa msigo gani wa kupakiwa kwenye SGR ili izalishe faida?.
- Kwa maoni yangu SGR ya Dar-Moro-Dodoma ni white elephant, SGR ya faida ni ile itakayofika Isaka, Mwanza na Kigoma na Tanga, kutoka bandari, kuvusha mizigo.
Yaani jamaaa umeeleza jambo zuri ,sema umemalizia kifo tena.Hakuna adhabu nyingine hadi kifo.Mambo ya kifo muachie Mungu mkuuKuhusu usalama wa reli kuna haja ya kuwa na sheria kali kwa ajili hiyo; aomething like Critical Infrastructute Protection Act. Ukikamatwa na hata nati ya miundombinu ya reli adhabu yake ni kifo. Bila hivyo tutakuwa hatutoboi.
unakuta wamasai wamenyofoa vyuma vya reli
Ndio maana nasema wapinzani wanatakiwa wachekiwe akili zao, Magufuli alishasema kwamba hii reli itafika Mwanza na Kigoma unakuta mtu anajenga kabisa hoja kwamba hii reli inaishia Dodoma, very stupid.Yaani hili jamaa ni hamnazo kweli,
Unajua wazi huwezi fika kanda ya ziwa ulikohama kwenye watu zaidi 16Million bila kupita Moro na Dom sasa unaongea nini?
Unajua wazi target ni Rwanda, Burundi na east DRC what the hell unatoka povu la ufipa.
Mkuu una observations nzuri sana. Mimi kuna linigine niongezee!Good observation,
1. Umeme upo.
2. Reli ya mwendokasi inapigwa uzio mwanzo mwisho, ila kuna vivuko vya watu na mifugo maeneo yote ya vijiji inamopita.
Changamoto zangu ni hizi.
Paskali
- Ili reli ilete faida, ni iwapo itasafirisha mizigo na sio abiria, route ya Dar-Moro haina cargo ya kutosha kushibisha reli.
- Tumekuwa na a meter gauge rail, its cheap, easy to run, no security risks lakini tumeshindwa kuiendesha, what are the chances kwa SGR, sophisticated, very expensive to run, and maintain, needs expertise, security risks?.
- Ili reli hii ishibe, inahitaji mzigo wa kufa mtu, sasa kwa pace yetu hii ya bandari yetu, kwa msigo gani wa kupakiwa kwenye SGR ili izalishe faida?.
- Kwa maoni yangu SGR ya Dar-Moro-Dodoma ni white elephant, SGR ya faida ni ile itakayofika Isaka, Mwanza na Kigoma na Tanga, kutoka bandari, kuvusha mizigo.
Pascol ni mtu anayeshangaza sana, tena anakaupuuuz fulani.Watanzania leo ata yesu akija akaawambia mbingu ii hapa hawataamini,...
Siku zote mtu aliyeshindwa huwez shindana nae,Pascol ni mtu anayeshangaza sana, tena anakaupuuuz fulani.
Hotuba gani iliyosema Reli inaishia Dom, hata wakati wanazindua ujenzi was phase II prof alisema itaenda Mwanza, Kigoma had I Rwanda na Burundi.
Project yenyewe inaitwa Dar'Isaka'Keza'Kigali'Msongati(DIKKM) lakini mtu anakomaa kumisslead bullshiit
Tatizo la Tazara ni ownership structure ndio inayosumbua ktk mgt.
Tatizo la TRL ni kuwa hakuna uzalendo
Kuhusu usalama wa reli kuna haja ya kuwa na sheria kali kwa ajili hiyo; aomething like Critical Infrastructute Protection Act. Ukikamatwa na hata nati ya miundombinu ya reli adhabu yake ni kifo. Bila hivyo tutakuwa hatutoboi.
1. Sasa Mkuu itafikaje Isaka bila kuanzia Dar-Moro? au ulitaka ijengwe kuanzia huko Isaka irudi Dar?Good observation,