Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
262
Reaction score
577
Degree ambazo zimesambaa mtaani na wengine WANAFUNGUA MADUKA NA KUJIAJIRI KWA PAMOJA TUNAITA KUPAMBANA:

DEGREE ZENYEWE NI HIZI:

Ualimu,
Human Resource
Economics
Law
Procurement and supply,
Secretary
Banking and Finance,
Community Development,
Public Relation,
Business Administration,
Record Management
Sociology
Sales marketing
Education
Business Management.

Supply imekuwa kubwa mno kuliko Demand
Kwenda kusomea hizi Course kwa sasa ni Kupoteza Hela na Mda wako tu

Supply ni Kubwa sana Na kila Mwaka inaongezeka Kuliko Demand
Ajira zimekuwa ngumu kupatikana cz watu wengi wamesomea vitu vile vile common miaka yote na vingine technology imetake place

Hali ni mbaya vijana wanapoteza mda na hela kusomea vitu ambavyo haviwasaidii cz kila mtu kasoma hivo vitu, Vijana wanachoma mahindi kwasabab ya kusomea Course ambazo zina supply kubwa sana kuliko Demand

Ushauri kwa Wadogo zangu angalieni na Course za kusoma sio unasoma ilimradi umesoma then unakuja kuteseka mtaani ajira hakuna

Unakuta mtu anasomea Human Resource au Procurement and supply kwa sasa then anategemea kuajiriwa wakati Supply ni Kubwa kuliko Demand then ukiangalia hizo faculty Technology imetake place

Ni Moja ya Cha Chanzo cha Ukosefu wa Ajira Kwa Tanzania, Watu wanasoma vitu vile vile ambavyo kila mtu amesoma miaka nenda rudi Kwa style hii Kazi za kuwaajiri wote zitatokea wapi.
 
Ajira zipo ila kwa taaluma za ujuzi zisizotaka uvivu

Tafuta mtu anayejua kutengeneza katuni bongo ambaye hana ajira

Pia vijana msitegemee degree mnazosomea tu ,,kuweni wajanja mjifunze skills nyepesi nyepesi za ujanja ujanja

1. Jifunze kuigiza. Na nenda kaombe chance kwa ma director wa tamthilia za kibongo hata kwa kujitolea tu.

2. Jifunze bongo fleva hata kuimba singeli . Wimbo mmoja tu ukibahatisha uka hit. Ghafla Unapata mtaji wa nguvu

3. Tengeneza content za social media. Tik tok, instagram na youtube. Zitakusaidia kupata followers wengii na kukupa umaarufu

4. Jifunze U MC wa masherehe. Kuna hela nyingi sana za kizembe zembe . Unaongea masaa matatu tu unachukua chako milioni kutoka kwenye michango ya harusi kama MC

5. Jifunze utangazaji wa habari. Hata kama hujasomea taaluma hiyo. ( taaluma hii inakupa umaarufu na kujenga brand fasta )

Bongo umaarufu unawapa watu connections kali sana. Utakutana na watu wengi wanaoweza kukupa ajira kwenye ulichosomea chuo. Na hata ukuu wa wilaya,
 
Education na Ualimu tofauti yake nini?
We jamaa Sasa hizi unazoshauri wasome ,Wakizisoma nazo mwisho supply nayo SI itakuwa kubwa kukiko demand? Mfano ualimu miaka ya 2010 ilikuwa Na guarantee ya kupata ajira. Kwani medical hali IPOJE?
Suluhisho -- tusome Kwa kufuta ujinga Ili tuendeshe shughuli zetu Kwa kutumia Elimu kdg tuliyopata tufanye kazi za kilimo, biashara na ufugaji Kwa kutumia Elimu kdg tuliyo nayo.
 
Degree ambazo zimesambaa mtaani na wengine WANAFUNGUA MADUKA NA KUJIAJIRI KWA PAMOJA TUNAITA KUPAMBANA:

DEGREE ZENYEWE NI HIZI:

Ualimu,
Human Resource
Economics
Law
Procurement and supply,
Secretary
Banking and Finance,
Community Development,
Public Relation,
Business Administration,
Record Management
Sociology
Sales marketing
Education
Business Management.

Supply imekuwa kubwa mno kuliko Demand
Kwenda kusomea hizi Course kwa sasa ni Kupoteza Hela na Mda wako tu

Supply ni Kubwa sana Na kila Mwaka inaongezeka Kuliko Demand
Ajira zimekuwa ngumu kupatikana cz watu wengi wamesomea vitu vile vile common miaka yote na vingine technology imetake place

Hali ni mbaya vijana wanapoteza mda na hela kusomea vitu ambavyo haviwasaidii cz kila mtu kasoma hivo vitu, Vijana wanachoma mahindi kwasabab ya kusomea Course ambazo zina supply kubwa sana kuliko Demand

Ushauri kwa Wadogo zangu angalieni na Course za kusoma sio unasoma ilimradi umesoma then unakuja kuteseka mtaani ajira hakuna

Unakuta mtu anasomea Human Resource au Procurement and supply kwa sasa then anategemea kuajiriwa wakati Supply ni Kubwa kuliko Demand then ukiangalia hizo faculty Technology imetake place

Ni Moja ya Cha Chanzo cha Ukosefu wa Ajira Kwa Tanzania, Watu wanasoma vitu vile vile ambavyo kila mtu amesoma miaka nenda rudi Kwa style hii Kazi za kuwaajiri wote zitatokea wapi.
Ila naona kidogo records INA mwanga
 
We jamaa Sasa hizi unazoshauri wasome ,Wakizisoma nazo mwisho supply nayo SI itakuwa kubwa kukiko demand? Mfano ualimu miaka ya 2010 ilikuwa Na guarantee ya kupata ajira. Kwani medical hali IPOJE?
Suluhisho -- tusome Kwa kufuta ujinga Ili tuendeshe shughuli zetu Kwa kutumia Elimu kdg tuliyopata tufanye kazi za kilimo, biashara na ufugaji Kwa kutumia Elimu kdg tuliyo nayo.
Na ndo lengo la elimu unasoma ili kufuta ujinga na sio lazima uajiriwe hiki kitu watu wakikijua tutafika mbali sana
 
Weka humu video yeyote ya cartoon uliyoitengeneza wewe mwenyewe

Ukishaweka nitakupa contact zangu na kukupigia pande uje ofisi za ubongo kids kwa ajili ya interview na wataalamu wa cartoon then upate ajira
Akutumie pm
 
Weka humu video yeyote ya cartoon uliyoitengeneza wewe mwenyewe

Ukishaweka nitakupa contact zangu na kukupigia pande uje ofisi za ubongo kids kwa ajili ya interview na wataalamu wa cartoon then upate ajira.

Sio hao tu kuna watu kibao wanatafuta wataalamu wa cartoon bongo.
Good tunataka watu wa fact kama wewe an
 
Animation ndio. Sio ya madesa na vyeti hapana. Animation ya vitendo.

Uwe na portofolio ya kuonyesha watu kazi zako za nyuma. Na ukipewa test umtengeneze character fulani na umuweke movement fulani ufanye na output watu waione.

Sio kuonesha vyeti
Aaaah sawa sawa.. naona hiyo course inatolewa UDOM pale sema ndo hivo practocal ni ishu nyingine aiseee
 
Back
Top Bottom