Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

Ndio utakuwa kama jamaa yangu mpk Kawa km kichwa kapiga procurement bachelor,akaenda jeshini ,akarudi kupiga tempo ya ualimu,akafanya kazi Benki sacoss akaacha,Sasa anataka akagombee ubunge 2025,mimi namtazama tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imebidi nicheke ulivosema unamtazama tu
 
Back
Top Bottom