Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

Najaribu kuvaa viatu, kama mimi leo ndo mwanafunz nimemaliza form six, hivyo inabidi kwanza nisome "carrier courses behaviour " bila msaada wa ushaur wa mtu, basi nisingeweza kupata UELEWA huo ili nichague cha kusomea, sabubu hii yangu inanipa Nguvu kuwatetea wanafunz wa leo kufanya chaguzi sahihi, Ila LAWAMA zangu zenye 8000TON zinakwenda kwa WANYE MAMLAKA , kwani hata palipo dhihirika kuwa hayo masomo hatuna shida na wasomi au wamejaa bado nako hakuna TIJA, hutuoni worthiness ya matokeo hayo ya kuzarisha wanafunzi wengi. Kama nchi au IDARA haina aibu kutafuta mtaalum mshaur kutoka nje, inaacha wa ndani, taaluma zinazosukuma mtaji kujileta kama michezo (BSC.physical education),inayoitajika 1:1 katika hospital,wizara za Michezo, ustawi wa jamii, wao waliokaa meza hizo wanachukulia kama BONANZA, sheria za kupata mkopo mpaka uwe KADA au Baba yako alipigana vita ya KAGERA, MTU mfumo A, unamfukuza,Mfumo B, unamrudisha wakati KODI NI zetu hapa hatuwezi kutoboa vizaz na vizaz, hata kama ni masomo ya science tunaodhan ni fursa sasa, MTU aliyesoma HIGH WAY ENGINEERING,au Rail engineering, wakati upi huyu MTU anaweza kupata potential za hapa nchini kama straberg,CCC,Sgr etc wanatumia nguvu kubwa kutokea nchini kwao wanamtuma MTU aliyesoma B.A, MARKETING, EDUCATION aje kutafuta miradi bongo ,na anatumwa na nchi yake inapata tender ya Boeing,bomberdia,au PW, afu hiyo hiyo elimu kwetu mfumo haupi NAFASI yake..hatuwez kufanikisha. Shida kubwa nayoioona leo wasomi wa sasa watapata bahati mbaya ya kuamin mfumo uliyo nje ya mtaala kuishi matakwa halis, mfano kila MTU anafahamu bila connection hupati mkopo wa kilimo, sanaa yako, kusoma nje,kushinda tender,kuolewa, hata kuanzisha kanisa. Wenye mamlaka wamekuwa wavivu kujiuliza kwanini MAKANISA ya kiroho wanapata wafuasi wengi kuliko kuhudhuria seminar ya bishara tena uliyo andaa hata chakula bure?. Kwanini unayemuita MZEMBE ndo huyo huyo anaamka saa kumi kuwahi abood afike KAWE kwa MWAMPOSA kabla ya ibada,kwani awahi Mkapa stadiums kuhudhuria neno, kwanini hakos Pesa ya kununua mafuta na maji ya UPAKO?, Hizi ni dalili za kushindwa kumkabir MTU mwenye Nguvu kutokana na kutokuwa wamoja kuhoj, nimebahatika kusoma zile kozi haba nchini lakin haimanish hamna malalamiko, kiasi kwamba sion tofauti na wale wa koz hizo juu, mchawi mbaya wa nchi yeyote ni yule aliyeua /atakaye ua Michezo mashuleni, vyuo binafsi, VETA /tech school na kukomalia walio wabovu kusimamia walio imara, siamin kabisa kigezo cha degree kina nguvu kuliko mtu mwenye form six na yuko site miaka kumi uone nan bora.(Nina ushahid huo) Tuna tatizo la kutranslate ELIMU na upupu wa registration boards zilizoshindwa kuinua nafasi ya msomi. Hivi kwanini VYUO HAWAGOMI SIKU HIZI, wakati sheria haizuii?. TUANZIE hapo.je Sera ya WASOMI Kwenda NJE kutafuta fursa imeboreshwa kiasi gani pale UAMIAJI?, BALOZ ZETU zina nafsi ipi iliyo imara kuona fursa kwa jiran.... Singinda,Ngara, nadhan hata huko Salasala kuna CHOKAA nyingi tu yakuchimbwa ikadhalisha viwanda hapa nchini (calcium silicate) Leo eti Tu import kutoka Germany aje kutulete yake, NONDO (MADINI ya Chuma) ipo eti NONDO ya nje ndo itumike miradi mikubwa, kwanin kwenye tender conditions tusiweke kama wanaona hatuna mtaalum wa kuzalisha nondo nzuri wamlete sisi tutaomuonyesha kiwanda na soft program na material aanze kuzalisha kabla ya kuanza kazi (site clearance period) .sio anakuja na kila kitu na pesa yetu ndo inanunua hivyo vitu ughaibuni. NI mmea gani Tanzania hatuna kias kwamba TENDER ya madawa kwa mwaka na faida wanayopata wakina KANJUBAI inaweza kuboresha BOTANIC PLANTATION na viwanda vyake ili tuwauzie watu wa nje. ? Assalam alyikhum
 
Orodhesha Shahada zinazoadimika mitaani, au zenye soko ili wazijue.
 
Duuuh yan ni changamoto mm binafsi nmehairisha kwenda chuo huu mwaka wa pil sasa kila nachoplan kusoma naambiwa naenda kupoteza time sitopata kazi na nmesoma science sasa ni kipi ambacho nikisoma napata kazi maana kila kitu kimekuwa pending nlichaguliwa udom kusomea bachelor of science in chemistry lakin ikaonekana haina ajira nchin
 
Tz uelewa madogo wa jamii, umasikini umetamalaki. Familia ngapi hazina wanasheria? Wanajikuta kila siku kwenye matatizo, mara kubambikiana kesi, kudhulumiwa ardhi, biashara, kudaiwa hongo, ila hawatumii wanasheria kupigania haki zao.
Utitiri wa watoto wasiojua kusoma, kuhesabu na kuandika, achilia halaiki ya wanaoangukia daraja la nne na sifuri.
WaTz wangapi wana vibiashara uchwara, havikui kwa kukosa muongozo wa kitaalamu, jinsi ya kukuza mitaji, jinsi ya kuweka kumbukumbu kwa usahihi za mahesabu, kulipa Kodi, kuwa na akiba benki na jinsi ya kutumia benki kupata mikopo, mpango wa kibiashara unapoomba mikopo na kuhakikisha mikopo unatumika katika lengo mahsusi na kuhakikisha linafanikiwa na hatimae kujua kibiashara na kulipa mkopo.
Sasa ni ama elimu ya Tz haijitoshelezi, kiasi kwamba hao tunaowaona wameelimika hawajui jinsi ya kuiuza au kuitangaza taaluma yao kwa wahitaji ambao kwa mtazamo wangu wameejaa au kama nilivyosema WaTz hawana uelewa na hawaoni umuhimu wa kuendesha mambo kitaalamu.
 
Asante mkuu kwa mawazo mazuri
 
Mkuu kama unafahamu kuna watu wanahitaji Content za mtandaoni nipe koneksheni. Mimi nimebobea huko natafuta kazi. Nimewahi kuandika makala zaidi ya 2000.
 
Mkuu kama unafahamu kuna watu wanahitaji Content za mtandaoni nipe koneksheni. Mimi nimebobea huko natafuta kazi. Nimewahi kuandika makala zaidi ya 2000.

Fanya mwenyewe kwanza kwenye page zako za social media kwa ajili ya portofolio reference.

Watu wanaohitaji watakufata wenyewe.
 

Supply ya post yako yenyewe ni kubwa kulikoo demand yake bora usingepost
We umeshiba harage uko unakuja kutujazia demand na supply kwenye simu
 
Kwa hapa nyumbani ungesoma Bs Pharmacy , hata usipo ajiriwa Serikalini, unayo nafasi kubwa ya kuunga unga ukatoka
 
Jifunze graphics
 

Umesema vyema.
 
Ndio utakuwa kama jamaa yangu mpk Kawa km kichwa kapiga procurement bachelor,akaenda jeshini ,akarudi kupiga tempo ya ualimu,akafanya kazi Benki sacoss akaacha,Sasa anataka akagombee ubunge 2025,mimi namtazama tu
 
Wanaomaliza ni wengi sana...
Lakini sasa wenye uwezo ni wachache.
Unazani hii haiwezi kuchangia wengi kuwepo mtaani..?
Ni kweli, lakini wanaohitajika ni wenye uwezo wa kufanya kitu sidhani kama mwenye uwezo wa kufanya kitu cha weledi kwa kompyuta atakua jobless. Kama unavyoona hatuna vitu kutoka kwa wazawa, vingi ni janjajanja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…