Hizi ndizo fedha zitazolipwa kwa kila timu kulingana na hatua walizofika mashindano ya CAF

Hizi ndizo fedha zitazolipwa kwa kila timu kulingana na hatua walizofika mashindano ya CAF

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
MUHIMU - Kila timu inapewa pesa ya nafasi iliyofikia na sio kila hatua, ikiwa timu itaomba pesa za usafiri, malazi, vyakula, n.k. Mashindano yakiisha watalipwa kiasi kilichobakia baada ya kutoa fedha walizopewa.

US$ 1 = shilingi 2,545 Tshs

BINGWA:
US$ 4 million
Shilingi bilioni 10 na milioni 180

MSHINDI WA PILI:
US$ 2 million
Shilingi bilioni 5 na milioni 90

KILA TIMU ITAYOISHIA NUSU FAINALI:
US$ 1.2 million
Shilingi bilioni 3 na milioni 54

KILA TIMU ITAYOISHIA ROBO FAINALI:
US$ 900,000
Shilingi bilioni 2 na milioni 290

KILA TIMU ITAYOISHIA HATUA YA MAKUNDI:
US$ 700,000
Shilingi bilioni 1 na milioni 781
 
Hapo Yanga tuna uhakika wa Bilioni 2 & Milioni 290 👏🏽
 
Wewe ndio nashangaa kukuona leo, mimi ndio shabiki kiongozi wa Yanga hapa jukwaani.
Sinaga hizi mambo.

Leo nimeenda kuangalia mpira kupunguza mawazo tu.

Ninapenda timu za Tanzania zikifanya vizuri. Nimefurahi sana leo!
 
Namwona yanga akibeba ndoo. Mimi ni mwana simba ila tusiibeze yanga mazee haya majamaa mpira yanaubonda ushabiki wa simba na yanga upo ila tusibeze haya majamaa yanaupiga hayashindi kwa ndondokela mpira una njia zake wazee..
 
Back
Top Bottom