Ujinga mtupu. Nilifurahi kusikia CAF ndo walipanga muda wa mchezo uwe saa nne usiku.Walizimiwa umeme kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya mechi! Zama hizi kweli tunafanya ujinga huu? Daah soka letu lina safari ndefu sana...
View attachment 1628773View attachment 1628774View attachment 1628775View attachment 1628776
Walizimiwa umeme kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya mechi! Zama hizi kweli tunafanya ujinga huu? Daah soka letu lina safari ndefu sana...
View attachment 1628773View attachment 1628774View attachment 1628775View attachment 1628776
Balance stori kwa kuweka picha za upande wa pili tuone kama umeme uliuuwepo au pia kulikuwa na giza? Alafu hawa waarabu wana wema gani kwetu mpaka wewe uwaonee huruma? Au unajipendekeza, kumbuka hao ni waarabu ohooooo watakufanyizia....Walizimiwa umeme kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya mechi! Zama hizi kweli tunafanya ujinga huu? Daah soka letu lina safari ndefu sana...
View attachment 1628773View attachment 1628774View attachment 1628775View attachment 1628776
Cjafungwa mkuu labda wwTunafungwaa wote watanzia ujueπππ
Jerry anaitolea udenda hiyo nafasi[emoji85][emoji85][emoji85]harakati zote hizo usikute ni jitihada za mtu flani kutaka uwaziri wa habari na michezo. Awamu hii mengi tutaona.
Kama wew mbeligijiiii sawaaMm
Cjafungwa mkuu labda ww
Yametoka wap hayo.Kama wew mbeligijiiii sawaa
Hahahahahaha jokes tumedrooooo soteeYametoka wap hayo.
Ww na nan!?Hahahahahaha jokes tumedrooooo sotee
Sisi watanzania na wachezaji ambao wanatuwakilishaWw na nan!?
Unafikiri kwao hawakufanyaFigisu za kijinga kabisa
Ccm wakikuskia unasema kuna shida ya umeme.....Acheni ujinga, kwahiyo mnajifanya hamjui kama hii nchi ina shida ya umeme, acheni ujuaji shubamit, hiyo ni dharula tu, umeme unakatika hospital itakuwa uwanjani!
Hapana bhana bongo ni pa kisengerema kule anakotoka PBongo pakisenge sana
πππππππNaona TFF imechukua ushauri wa nini cha kufanya kutoka kwa NEC Ya mahera sio?
Tunatekelezaaaaaaaaaaaaaa.
Shida ya umeme ulileta wwπ π π πAcheni ujinga, kwahiyo mnajifanya hamjui kama hii nchi ina shida ya umeme, acheni ujuaji shubamit, hiyo ni dharula tu, umeme unakatika hospital itakuwa uwanjani!