Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Ujinga mtupu. Nilifurahi kusikia CAF ndo walipanga muda wa mchezo uwe saa nne usiku.Walizimiwa umeme kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya mechi! Zama hizi kweli tunafanya ujinga huu? Daah soka letu lina safari ndefu sana...
View attachment 1628773View attachment 1628774View attachment 1628775View attachment 1628776