Hizi ndizo hujuma walizofanyiwa Tunisia kabla ya mechi

Hizi ndizo hujuma walizofanyiwa Tunisia kabla ya mechi

Walizimiwa umeme kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya mechi! Zama hizi kweli tunafanya ujinga huu? Daah soka letu lina safari ndefu sana...
View attachment 1628773View attachment 1628774View attachment 1628775View attachment 1628776
Balance stori kwa kuweka picha za upande wa pili tuone kama umeme uliuuwepo au pia kulikuwa na giza? Alafu hawa waarabu wana wema gani kwetu mpaka wewe uwaonee huruma? Au unajipendekeza, kumbuka hao ni waarabu ohooooo watakufanyizia....
Wenyewe washatufanyia sana huo ujinga, pumbavu zao
 
Acheni ujinga, kwahiyo mnajifanya hamjui kama hii nchi ina shida ya umeme, acheni ujuaji shubamit, hiyo ni dharula tu, umeme unakatika hospital itakuwa uwanjani!
Ccm wakikuskia unasema kuna shida ya umeme.....
 
Acheni ujinga, kwahiyo mnajifanya hamjui kama hii nchi ina shida ya umeme, acheni ujuaji shubamit, hiyo ni dharula tu, umeme unakatika hospital itakuwa uwanjani!
Shida ya umeme ulileta ww😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom