Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
CHANZO BBC
Vladimir Putin nchini Ukraine sio wa kipekee. Hofu za mapema za ushindi wa haraka zilifuatiwa na kurudi nyuma kwa Urusi na upinzani wa Waukraine, hilo sasa limekabiliwa na uvamizi wa Urusi uliolenga zaidi mashariki. Lakini baada ya siku 100, vita hivi vinaweza kuendelea wapi?
Hapa kuna hali tano zinazowezekana - hazitengani, lakini zote ziko ndani ya mipaka ya kusadikika.
Kasi hubadilik kila wakati huku pande zote mbili zikipata faida na hasara. Hakuna upande ulio tayari kusitisha vita kwanza.
Rais Putin wa Urusi anahukumu kuwa anaweza kupata kwa kuonyesha uvumilivu wa kimkakati, na kubahatisha ikiwa nchi za Magharibi zitakabiliwa na "uchovu wa Ukraine" na kuzingatia zaidi migogoro yao ya kiuchumi na tishio kutoka kwa China.
Vikosi vinavyounga mkono Urusi vilirusha roketi iliyolenga maeneo ya Ukraine huko Yasynuvata, Donetsk
Nchi za Magharibi, hata hivyo, zinaonyesha dhamira na zinaendelea kuipatia Ukraine silaha.
Kuwa vitani kumedumishwa.. taratibu, mzozo huo unakuwa wa kudumu.
Mick Ryan, jenerali na msomi wa kijeshi aliyestaafu wa Australia, anasema: "Kuna matarajio madogo ya ushindi wa kimkakati wa kukandamiza au wa kimkakati wa pande zote mbili katika muda mfupi.
Hakuna hata mmoja wa wapiganaji ambaye ameonyesha uwezo wa kupata pigo la kimkakati.
Angeweza kuweka mfukoni mafanikio yake ya eneo na kutangaza ''ushindi''. Angeweza kudai ''operesheni yake ya kijeshi'' ilikuwa imekamilika: Waliojitenga wanaoungwa mkono na Urusi huko Donnbas wanalindwa .Ukanda wa eneo la Crimea waundwa. Kisha angeweza kutafuta msingi wa maadili, na kuweka shinikizo kwa Ukraine kuacha mapigano.
''Hii ni njama ambayo inaweza kutumiwa na Urusi wakati wowote, ikiwa inataka kutumia shinikizo la Ulaya kwa Ukraine kujisalimisha na kuacha eneo lake ili kupata amani ya asili,'' anasema Keir Giles, mtaalam wa Urusi katika jopo la maoni la Chatham House.
Rais wa Urusi Putin huenda akabahatisha ikiwa nchi za Magharibi zinazokabiliwa na ''chovu wa Ukraine'' na kubadili mwelekeo kwa uchumi wao.
Hoja zinasikika tayari huko Paris, Berlin na Roma: hakuna haja ya kuendeleza vita, wakati wa kumaliza maumivu ya uchumi wa ulimwengu, ni wakati wa kushinikiza usitishwaji wa mapigano.
Hili, ingawa, lingepingwa na Marekani, Uingereza na sehemu kubwa ya Ulaya mashariki, ambapo watunga sera wanaamini kuwa uvamizi wa Urusi lazima ushindwe, kwa ajili ya Ukraine na utaratibu wa kimataifa.
Kwa hivyo usitishaji vita wa Urusi wa upande mmoja unaweza kubadilisha simulizi lakini sio kumaliza mapigano.
Majeshi yao yamechoka, yanakosa nguvu kazi na silaha. Wanavyolipia kupitia umwagikaji wa damu na hazina haihalalishi mapigano zaidi.
Nini kama uongozi huko Kyiv - hauamini tena kuendelea kwa msaada wa Magharibi - na kuamua wakati umefika wa kuzungumza?
Rais wa Marekani Joe Biden anakiri waziwazi lengo la Marekani ni kwa Ukraine kuwa ''katika nafasi yenye nguvu zaidi katika meza ya mazungumzo''.
Lakini kunaweza kusiwe na mkwamo wa uwanja wa vita kwa miezi mingi na suluhu lolote la kisiasa litakuwa gumu, kwasababu ya ukosefu wa imani ya Ukraine kwa Urusi.
Mkataba wa amani hauwezi kudumu na unaweza kufuatiwa na mapigano zaidi.
Je, Ukraine inaweza kuwalazimisha wanajeshi wa Urusi kuondoka pale walipokuwa kabla ya uvamizi huo?
''Kwa hakika Ukraine itashinda vita hivi,'' Rais wa nchi hiyo Volodymyr Zelensky aliiambia TV ya Uholanzi wiki hii.
Je, ikiwa Urusi itashindwa kukamata Donba zote na kupata hasara zaidi?
Vikwazo vya Magharibi vilikabili Urusi.
Ukraine inafanya mashambulizi ya kukabiliana, kwa kutumia roketi zake mpya za masafa marefu, kurejesha maeneo ambapo njia za usambazaji za Urusi zimefikia.
Ukraine inabadilisha jeshi lake kutoka kwa ulinzi hadi jeshi la uvamizi.
Marekani ilisema kuwa itaipatia Ukraine silaha ikiwa ni pamoja na Mfumo wa Roketi wa umbali wa Juu (HIMARS)
Hali hii inakubalika vya kutosha kwa watunga sera kuwa na yenye kuleta wasiwasi tayari kuhusu matokeo yake.
Ikiwa Bw Putin angekabiliwa na kushindwa, je angeweza kuongezeka, kwa uwezekano wa kutumia silaha za kemikali au nyuklia?
Mwanahistoria Niall Ferguson aliiambia semina katika Chuo cha Kings, London hivi karibuni: ''Inaonekana haiwezekani kwangu kwamba Putin atakubali kushindwa kijeshi wakati atakuwa na chaguo la nyuklia.''
''Malengo hayo ya juu zaidi yanasalia,'' ofisa mmoja alisema. Urusi inaweza kufaidika na mafanikio yake huko Donbas, ikitoa nguvu kwa matumizi mahali pengine, labda hata kulenga Kyiv kwa mara nyingine tena.
Vikosi vya Ukraine vinaendelea kuteseka kwa idai kubwa ya wanajeshi wa Urusi.
Rais wa Ukraine Zelensky alikutana na wanajeshi katika eneo la mashariki la Kharkiv, ambako mapigano yamezidi.
Rais Zelensky tayari amekiri kuwa hadi wanajeshi 100 wa Ukraine wanakufa na wengine 500 wanajeruhiwa kila siku.
Watu wa Ukraine wanaweza kugawanyika, wengine wakitaka kupigana, wengine wakitaka amani.
Baadhi ya nchi za Magharibi zinaweza kuchoka kuunga mkono Ukraine.
Lakini sawa, ikiwa walidhani Urusi ilikuwa inashinda, wengine wanaweza kutaka kuongeza vita.
Mwanadiplomasia mmoja wa Magharibi aliniambia faraghani Magharibi inapaswa kujaribu silaha ya nyuklia katika bahari ya Pasifiki kama onyo kwa Urusi.
Mustakabali wa vita hivi bado haujaandikwa.
Vita vya Ukraine: Mzozo wa Ukraine unaweza kuisha kwa njia hizi tano
3 Juni 2022Vladimir Putin nchini Ukraine sio wa kipekee. Hofu za mapema za ushindi wa haraka zilifuatiwa na kurudi nyuma kwa Urusi na upinzani wa Waukraine, hilo sasa limekabiliwa na uvamizi wa Urusi uliolenga zaidi mashariki. Lakini baada ya siku 100, vita hivi vinaweza kuendelea wapi?
Hapa kuna hali tano zinazowezekana - hazitengani, lakini zote ziko ndani ya mipaka ya kusadikika.
1. Vita vya mvutano
Vita vinaweza kuendelea kwa miezi kadhaa - ikiwa sio miaka - huku vikosi vya Urusi na Ukraine vikikabiliana.Kasi hubadilik kila wakati huku pande zote mbili zikipata faida na hasara. Hakuna upande ulio tayari kusitisha vita kwanza.
Rais Putin wa Urusi anahukumu kuwa anaweza kupata kwa kuonyesha uvumilivu wa kimkakati, na kubahatisha ikiwa nchi za Magharibi zitakabiliwa na "uchovu wa Ukraine" na kuzingatia zaidi migogoro yao ya kiuchumi na tishio kutoka kwa China.
Vikosi vinavyounga mkono Urusi vilirusha roketi iliyolenga maeneo ya Ukraine huko Yasynuvata, Donetsk
Nchi za Magharibi, hata hivyo, zinaonyesha dhamira na zinaendelea kuipatia Ukraine silaha.
Kuwa vitani kumedumishwa.. taratibu, mzozo huo unakuwa wa kudumu.
Mick Ryan, jenerali na msomi wa kijeshi aliyestaafu wa Australia, anasema: "Kuna matarajio madogo ya ushindi wa kimkakati wa kukandamiza au wa kimkakati wa pande zote mbili katika muda mfupi.
Hakuna hata mmoja wa wapiganaji ambaye ameonyesha uwezo wa kupata pigo la kimkakati.
2: Putin atangaza kusitisha mapigano
Je, iwapo Rais Putin angeushangaza ulimwengu kwa usitishaji vita wa upande mmoja?Angeweza kuweka mfukoni mafanikio yake ya eneo na kutangaza ''ushindi''. Angeweza kudai ''operesheni yake ya kijeshi'' ilikuwa imekamilika: Waliojitenga wanaoungwa mkono na Urusi huko Donnbas wanalindwa .Ukanda wa eneo la Crimea waundwa. Kisha angeweza kutafuta msingi wa maadili, na kuweka shinikizo kwa Ukraine kuacha mapigano.
''Hii ni njama ambayo inaweza kutumiwa na Urusi wakati wowote, ikiwa inataka kutumia shinikizo la Ulaya kwa Ukraine kujisalimisha na kuacha eneo lake ili kupata amani ya asili,'' anasema Keir Giles, mtaalam wa Urusi katika jopo la maoni la Chatham House.
Rais wa Urusi Putin huenda akabahatisha ikiwa nchi za Magharibi zinazokabiliwa na ''chovu wa Ukraine'' na kubadili mwelekeo kwa uchumi wao.
Hoja zinasikika tayari huko Paris, Berlin na Roma: hakuna haja ya kuendeleza vita, wakati wa kumaliza maumivu ya uchumi wa ulimwengu, ni wakati wa kushinikiza usitishwaji wa mapigano.
Hili, ingawa, lingepingwa na Marekani, Uingereza na sehemu kubwa ya Ulaya mashariki, ambapo watunga sera wanaamini kuwa uvamizi wa Urusi lazima ushindwe, kwa ajili ya Ukraine na utaratibu wa kimataifa.
Kwa hivyo usitishaji vita wa Urusi wa upande mmoja unaweza kubadilisha simulizi lakini sio kumaliza mapigano.
3: Mkwamo wa vita
Je, iwapo Ukraine na Urusi zitahitimisha kuwa haziwezi kufikia kijeshi zaidi na kuingia katika mazungumzo ya suluhu ya kisiasa, nini kitatokea?Majeshi yao yamechoka, yanakosa nguvu kazi na silaha. Wanavyolipia kupitia umwagikaji wa damu na hazina haihalalishi mapigano zaidi.
Hasara za kijeshi na kiuchumi za Urusi sio endelevu
Watu wa Ukraine wamechoka na vita, hawataki kuhatarisha maisha zaidi kwa ushindi wa milele.Nini kama uongozi huko Kyiv - hauamini tena kuendelea kwa msaada wa Magharibi - na kuamua wakati umefika wa kuzungumza?
Rais wa Marekani Joe Biden anakiri waziwazi lengo la Marekani ni kwa Ukraine kuwa ''katika nafasi yenye nguvu zaidi katika meza ya mazungumzo''.
Lakini kunaweza kusiwe na mkwamo wa uwanja wa vita kwa miezi mingi na suluhu lolote la kisiasa litakuwa gumu, kwasababu ya ukosefu wa imani ya Ukraine kwa Urusi.
Mkataba wa amani hauwezi kudumu na unaweza kufuatiwa na mapigano zaidi.
4: Ushindi kwa Ukraine
Je Ukraine - inaweza - kufikia kitu karibu na ushindi?Je, Ukraine inaweza kuwalazimisha wanajeshi wa Urusi kuondoka pale walipokuwa kabla ya uvamizi huo?
''Kwa hakika Ukraine itashinda vita hivi,'' Rais wa nchi hiyo Volodymyr Zelensky aliiambia TV ya Uholanzi wiki hii.
Je, ikiwa Urusi itashindwa kukamata Donba zote na kupata hasara zaidi?
Vikwazo vya Magharibi vilikabili Urusi.
Ukraine inafanya mashambulizi ya kukabiliana, kwa kutumia roketi zake mpya za masafa marefu, kurejesha maeneo ambapo njia za usambazaji za Urusi zimefikia.
Ukraine inabadilisha jeshi lake kutoka kwa ulinzi hadi jeshi la uvamizi.
Marekani ilisema kuwa itaipatia Ukraine silaha ikiwa ni pamoja na Mfumo wa Roketi wa umbali wa Juu (HIMARS)
Hali hii inakubalika vya kutosha kwa watunga sera kuwa na yenye kuleta wasiwasi tayari kuhusu matokeo yake.
Ikiwa Bw Putin angekabiliwa na kushindwa, je angeweza kuongezeka, kwa uwezekano wa kutumia silaha za kemikali au nyuklia?
Mwanahistoria Niall Ferguson aliiambia semina katika Chuo cha Kings, London hivi karibuni: ''Inaonekana haiwezekani kwangu kwamba Putin atakubali kushindwa kijeshi wakati atakuwa na chaguo la nyuklia.''
5: Ushindi kwa Urusi
Na vipi kuhusu ''ushindi'' wa Urusi unaowezekana? Maafisa wa nchi za Magharibi wanasisitiza kuwa Urusi, licha ya vikwazo vya mapema, bado ina mpango wa kuuteka mji mkuu wa Kyiv na kutiisha sehemu kubwa ya Ukraine.''Malengo hayo ya juu zaidi yanasalia,'' ofisa mmoja alisema. Urusi inaweza kufaidika na mafanikio yake huko Donbas, ikitoa nguvu kwa matumizi mahali pengine, labda hata kulenga Kyiv kwa mara nyingine tena.