Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kwamba wanataka kubebana?Kuna harufu ya kutakatisha fedha hapa.
Chukulia kuna mtu alizitunza hizi hela akashindwa ziingiza kwenye mzunguka akazichimbia tuu ndan. Muda wa matumizi ukaisha .Zikakosa dhamani.
Wataalamu wakaleta tangazo zinakusanywa maana ake alizokuwa nazo anazipeleka benk anapewa hela zinazotumika sa hivi( Hivyo fedha zilizokosa dhamani mwazo zinarudi kuwa na dhamani upya).
Swali la kujiuliza Ni nan unadhan hizi noti anazo na ikawaje akaw nazo wakati tushazisahau labda hiyo kidogo miatano hapo , ila hizo zingine zote ukimkuta mtu yuko nayo ni kama urembo. Hivyo kuna ka harufu nakanusa hapa sio kazuri
Jua Kuna wastaafu wa miaka hiyo Wana hizo pesa. Hivyo TuliaKuna harufu ya kutakatisha fedha hapa.
Chukulia kuna mtu alizitunza hizi hela akashindwa ziingiza kwenye mzunguka akazichimbia tuu ndan. Muda wa matumizi ukaisha .Zikakosa dhamani.
Wataalamu wakaleta tangazo zinakusanywa maana ake alizokuwa nazo anazipeleka benk anapewa hela zinazotumika sa hivi( Hivyo fedha zilizokosa dhamani mwazo zinarudi kuwa na dhamani upya).
Swali la kujiuliza Ni nan unadhan hizi noti anazo na ikawaje akaw nazo wakati tushazisahau labda hiyo kidogo miatano hapo , ila hizo zingine zote ukimkuta mtu yuko nayo ni kama urembo. Hivyo kuna ka harufu nakanusa hapa sio kazuri
Hizo noti za miaka 90 ina maana zilikuwa kwenye mzunguko bado? Mbona watu walishazisahau?
Au wanatafuta kitu kipi?
You are completely wrong.Jua Kuna wastaafu wa miaka hiyo Wana hizo pesa. Hivyo Tulia
Umewaza kwa akili Ila Tulia hakuna namna