Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Haipendezi mtu kujitambulisha naitwa Mr au Mheshimiwa. Haya yanapaswa kufanywa na watu wengine.Nimefanya kazi na hawa wenzetu weupe kutoka mataifa yaliyoendelea, unaweza kuwa unafanya naye kwa miaka kadhaa na wala usijue hata ana PhD. Sisi huku kwetu, mtu hata akapata PhD kwa kubumba, kila akijitambulisha utasikia, mimi naitwa Doctor ......
Kuna ule msemo wa lugha yetu ya Kiswahili: Maskini akipata matko hulia mbwata.
Na mwingine ufananao:
Debe tupu halikose kupiga kelele.
Sijakuunga mkono bali nimekupa fact, Namibia ilikuwa koloni la Ujerumani na ilikuwa chini ya udhamini kama Tanganyija lakini mbona walipigana vita virefu kudai uhuru, Ghana uganda na Zambia walikuwa makoloni lakini wakipata uhuru kwa amani kana Tanganyika hapo unasemaje.
Nyerere huyo unayembeza alihukumiwa kwa uchochezi, alikuwa anatembea kwa miguu toka shule ya sekondari Pugu hadi Lumumba kushughulikia masuala ya TANU na kurudi jioni, pugu ya wakati ule ilikuwa misitu yenye simba sio kama unavyoiona leo. Uchaguzi wa kura tatu ulikuwa mgumu kwa TANU kwa sabqbu mkoloni alijua kuwa Tanu hata ikifanya vizuri itaambulia theluthi ya viti ambqvyo ni vya weusi tu lakini Tanu chini ya Nyerere waliunga mkono wagombea wao wazungu na waasia na kupata ushindi uliomshangaza mkoloni halafu unasema uhuru ulipatikana kirahisi!. Kwa taarifa yako mkoloni alitengeneza scheme ili Tanganyika iwe kama Rhodesia.
Unataka nielewe nini hapa. Unayo akili timamu wewe?
Acha ujingaNani alikuwa anamlipia ada?
Kumbe ni kweli huna akili?Na wewe unataka nijue nini hapo zwazwa nini?
Kumbe ni kweli huna akili?
Ujinga upi broAcha ujinga
Mwl Nyerere huu ujinga aliukataaNi kweli kabisa.
Wenzetu wanajali sana kile ambacho mtu anaweza kukifanya.
Sisi hapa kwetu unamsikia mtu anajiita ni doctor wa uhandisi mitambo, lakini hana uwezo wa kutengeneza hata mkokoteni, ila kila mahali anajitambulisha kuwa yeye doctor wa engineering na ni bingwa kwenye masuala ya mitambo.
Hii hutokea pale Kilaza anapodhani ana uwezo wa kutofautisha kati ya pumba na mchele!1Pumba
hakuna mfananisho wa aina yoyote kati yangu na wewe.Jinsi wewe ulivyokuwa huna.
hakuna mfananisho wa aina yoyote kati yangu na wewe.
Wewe una mjadala gani wakati huna akili kichwani?"Hakuna mfananisho" ?!!,. kwanza kajifunze kiswahili ndipo uje kwenye mjadala.
Wewe una mjadala gani wakati huna akili kichwani?
Ndg nimeipenda Hekima yako kwa jinsi ulivyotoa uelewa kwa ndg yetu lakini pia kwa manufaa ya wasiofahamu hilo.Honorary Degree hausomi ila unatunukiwa kutokana na mchango wako kwenye masuala husika hivyo haulipi ada.
Akili inayokuwezesha kuandika maneno kama hayo uliyoandika hapo juu haihitaji utaalam kujua ni akili mbovu.au hiyo ndio akili inayojivunia ya kuhoji na kuandika pumba?
Akili inayokuwezesha kuandika maneno kama hayo uliyoandika hapo juu haihitaji utaalam kujua ni akili mbovu.
Haihitaji kukutana nawe kujua wewe ni mtu wa namna gani, maandishi yako yanajitosheleza kabisa kujua kwamba kichwani mwako kumejaa takataka tupu.Na wewe unajihesabu miongoni mwa watu wenye akili ya kuweza kuwa standard measure ya kupimia akili za watu wengine??
Naam, wewe akili unazo lakini ninayo mashaka kwamba akili zako sio TIMAMU.
Haihitaji kukutana nawe kujua wewe ni mtu wa namna gani, maandishi yako yanajitosheleza kabisa kujua kwamba kichwani mwako kumejaa takataka tupu.