"Matusi" ni yapi, hata hujui maana ya neno hilo?Kalamu ni chombo kitumikacho hata kuandikia matusi nadhani wewe umejipambanua kama chombo cha kuandia matusi bila shaka kuna jini limo kichwani mwako linalokusukuma kuandika matusi kwani hiyo sio akili ya mtu mzima bali kichaa.
Ungekuwa na akili timamu, ungerudi nyuma tulikoanzia na kujiuliza imekuwaje hadi ikafikia hapa. Lakini kwa vile huna uwezo wa kufikiri hivyo unaanza kulialia tu hapa kuwa kuna matusi yametumika.