Hizi ndizo shughuli zinazowapeleka Wachagga Kilimanjaro kila mwaka

Hizi ndizo shughuli zinazowapeleka Wachagga Kilimanjaro kila mwaka

ila Siku hizi wachagga wamepoteza uhusiano na pesa, Wapo Vijana wakichagga wapumbavu pumbavu wapo tuu wamekua waswahili nao na visharobaro

Kila Mtu anajua kutafuta jata waha, wakinga, wasambaa nao wamo [emoji36][emoji36]
 
Naomba niwaite maswahiba zangu hapa tuanze kuria mbege...

Le Big Sam Babu Asprin aka mzee wa without 😅

Brudha wa Verossa Mentor aka baba naniliu .....😜

Sukari ya warembo Watu8 aka Msafiri wa Nissan nyeupe 🤪

Niko Lushoto huku hadi tarehe 18, tarehe 19 nateremka atayekuwa anaelekea kaskazini zaidi atoe taarifa mapemaaaa niongeze chupa za wine 🍷 😋
Mmmh jamani Uzee tabu sana..yaani ofa zote unatoa... na bado !! Unaukarimu kweli
Good Luck
 
Mambo ya ajabu wanafundisha watoto wao ujambazi hapa mjini
Kweli Mkuu, kwa hayo maswali wanayoulizwa nimeeelewa kwanini hawa Wenzetu wamekuwa Wahanga wa Ufisadi na Upigaji mkubwa Serikalini na matukio makubwa ya Uporaji. Hizo Showoff kumbe ndio chanzo kikuuu. Pole rafiki yangu Mangi kipenzi unayesota kwa kesi ya Uhujumu Uchumi. Kesho naelekea Keko kukupa pole kumbe siyo akili zako bali ni msukumo wa jamii yako daaaah.
 
Mambo ya ajabu wanafundisha watoto wao ujambazi hapa mjini
Ukiona mchaga yuko tayari kwa dili yoyote usishangae, anaogopa kunyanyapaliwa kwa kipindi hicho. Mkuu utakutana na mchaga muuza mkaa, mpiga debe(japo hawapo) lakini Moshi ana heshimika sana kuliko Dar
 
ila Siku hizi wachagga wamepoteza uhusiano na pesa, Wapo Vijana wakichagga wapumbavu pumbavu wapo tuu wamekua waswahili nao na visharobaro

Kila Mtu anajua kutafuta jata waha, wakinga, wasambaa nao wamo [emoji36][emoji36]
Kwenye kukomaa kwa sasa nawavulia kofia waha ila shida hawana umoja na tamaduni ka hii
 
Huu mfumo mgumu sana. Imagine wewe ndiye kidume kwenu halafu uko Dar unapambana na life unaishia kuwa bodaboda halafu mtoto wa jirani amekuja kula sikukuu akitokea Scotland na gari mpya zawadi kwa baba na mama
Sio siri mfumo mgumu kweli lakini ni challenge pia kwa vijana kuacha uzembe.
Wazee wanaamini kazi yeyote unaeza toboa hata kama unauza karanga wanataka ukifika pale uvimbe kama wengine 😂😂 ukitaka usichekwe bora ubak om tu
 
Kweli Mkuu, kwa hayo maswali wanayoulizwa nimeeelewa kwanini hawa Wenzetu wamekuwa Wahanga wa Ufisadi na Upigaji mkubwa Serikalini na matukio makubwa ya Uporaji. Hizo Showoff kumbe ndio chanzo kikuuu. Pole rafiki yangu Mangi kipenzi unayesota kwa kesi ya Uhujumu Uchumi. Kesho naelekea Keko kukupa pole kumbe siyo akili zako bali ni msukumo wa jamii yako daaaah.
Bosi kwenye ishu ya wizi kuna wezi na matapeli kama wahaya?
Mafisadi na wapiga dili nchi hii ni Wachagga? Heb pita hivi👉
 
Back
Top Bottom