Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
- Thread starter
- #41
Sio lazma uwe na gari ila uwe na vitu, usiwe mnyongeNingekuwa Mchaga, nisingerudi home mpaka nimiliki gari.
Sio lazma uwe na gari ila uwe na vitu, usiwe mnyongeNingekuwa Mchaga, nisingerudi home mpaka nimiliki gari.
Mkuuu usijitie Upofu hivi Akina Dan Yona, Basil Mra..., akina Sinale, akina Richmond, Bosi wa NIDA... nk nk kwani wanatokea pande zipi vile.Bosi kwenye ishu ya wizi kuna wezi na matapeli kama wahaya?
Mafisadi na wapiga dili nchi hii ni Wachagga? Heb pita hivi👉
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Bora wao kuliko mnaologana mpka ukoo mzima mnakua mafukara,karibu kilimanjaro best
Ni kweli mkuu, huwezi amini tuvijana tuchaga tumekimbilia kinondoni vinaliwa nyaa!ila Siku hizi wachagga wamepoteza uhusiano na pesa, Wapo Vijana wakichagga wapumbavu pumbavu wapo tuu wamekua waswahili nao na visharobaro
Kila Mtu anajua kutafuta jata waha, wakinga, wasambaa nao wamo [emoji36][emoji36]
Sante sana mangiBest karibu uchagani kanani ya tanzania,ukienda kanda maalum huwezi kuta jina la mchaga katajwa na mambosasa....karibu mshiki uchagani upate kilambio
Sie tunakutana Kigoma msibani na harusini,.Natumai wote wazima.
Huu ni mwezi wa mwisho wa mwaka
Mwezi ambao unapilika nyingi sana za kumalizia dk za mwisho.
Kuna makabila mengi sana yanayopenda kuumalizia mwezi huu kwa kwenda makwao yaani sehemu walikozaliwa.
Nitazungumzia Wachagga sababu mi mwenyewe natokea huko.
Sababu za kwenda makwao December.
1. Kupumzika,hii ni baada ya kufanya kazi kwa mwaka mzima,bila kwenda.
2. Kuchinja mbuzi, hapa kuna za matambiko na za kawaida. Matambiko haya ni kushukuru wazee wao kwa baraka walizopata kwa kipindi chote.
3. Sherehe mbalimbali. Komunuo, kipaimara, ubatizo,Xmas na mwaka mpya wenyewe.
4. Utambulisho mbalimbali kama mke, mchumba,gari jipya,nyumba mpya n.k
5. Kukutana na watu mbalimbali ambao hamuonani baada ya kipindi hicho kama, classmates, majirani,ndugu na jamaa.
6. Utekelezaji wa miradi mbalimbali kama ujenzi wa nyumba, ukarabati wa nyumba,njia mashamba n.k
Kutokana na sababu hizo wanaokwenda ni watu wote wa dini zote
Ukienda tofauti na kipindi hiki huwez kukuta watu wengi sana. Kipindi hiki hakuna kaya utakayokuta haina furaha.
CHANGAMOTO
Kama umeenda na huna chochote kitu,utakumbana na ubaguzi na manyanyaso makubwa sana labda usiwe mzawa wa hapo.
Vijana wenzako wanawajengea wazazi wao nyumba ww huna kitu,wameenda na magari ww huna kitu. Umeshindwa hata kujenga choo hapo nyumbani!!!???
Maswali fikirishi
Utaulizwa mjini ulifata nini??bora ungelima hata huku shambani tu tujue kabisa kweli huna kazi?
Kama ni Dar, utaulizwa kwani Daslama unayokaa wewe ni hiyo hiyo anakaa mtoto wa Massawe?😂😂 Utajibu nini hapo?
Kipindi hicho wenye vitu,mali pesa ndio wenye akili na maamuzi. Una vyeti vyako,una elimu kubwa lakini kama hujafanya chochote au hauko vizuri na wazazi wewe ni takataka tu.
Kwa sababu tajwa hapo juu kumbuka sio wote wanakwenda kwa sababu zote bali lazma sababu mojawapo ihusike.
Ni kipindi chenye shangwe na furaha sana.
Karibuni watu wa maeneo mengine mtupe sababu za kwenda na changamoto zake. Ruksa kujazia pia hapo.
Matambiko time!Huku hata mama jesca anapatamani hakuna wajinga kama huko kwenu,karibu mbege mshiki
Kuna yule mchaga wa Arusha tena mzee wa Kanisa KKKT alikuwa analala na chatu chumbani kwake.Karibu sana mshiki,punguza wivu uishi maisha marefu...usiwe kama mwenyekiti wako anatembea na AC muda wote kupooza roho
.
Na wakina Chenge,Rugemalira,Rostam,Karamagi,Balali hawa ni wa wapi?Mkuuu usijitie Upofu hivi Akina Dan Yona, Basil Mra..., akina Sinale, akina Richmond, Bosi wa NIDA... nk nk kwani wanatokea pande zipi vile.
Duuh hilo silijui mkuuNi kweli mkuu, huwezi amini tuvijana tuchaga tumekimbilia kinondoni vinaliwa nyaa!
Yaan aibu [emoji1751][emoji1745]
Hahah Mimi huku ninao wajua Naona wanao umojaKwenye kukomaa kwa sasa nawavulia kofia waha ila shida hawana umoja na tamaduni ka hii
Unamfundisha mpaka kiuno kinalainika.NDO MANA NATAMANI SANA KUOA UCHAGANI ILA TATIZO VIUNO VYA MABINTI ZAO VIGUUUUMU
Hao ni tone katoka Maji ya Bahari na mara nyingi hao wote wamepiga mpunga chini ya Mastermind ya Mangi, kubali au kataa mchora ramani lazima awe yeyeee!Na wakina Chenge,Rugemalira,Rostam,Karamagi,Balali hawa ni wa wapi?
Hata yule mchagga wa Sinza shekilango pale .......view Hotel kuna joka!Hahaaa unakariri mwanaccm,yule hakua mchaga ni mjita,tena jirani yangu kma nyumba ya 4 hajawahi kua tajiri ....uliona wapi tajiri anamiliki nyumba moja na isuzu trroper...ni kada mtiifu wa ccm
Hao ni tone katoka Maji ya Bahari na mara nyingi hao wote wamepiga mpunga chini ya Mastermind ya Mangi, kubali au kataa mchora ramani lazima awe yeyeee!
Endeleeni kula raha bwashee pasipo furaha!Hata kimani kule burigi kuna joka,majini,waganga kama wote....endeleeni kulogana sisi tunakula raha.karibu moshi upunguze stress za kulogana huko kwenu