Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
- Thread starter
- #81
Kabisa...unaweza pigwa swali afu we mwenyewe ukajiona mzembe...ndio mana hakuna mchaga mjinga wala mvivu yote hiyo ni kutokana na hizo challenge za raia migombani hukoTwendeni tu kwetu, hawa wa mikoa mingine waacheni waendelee kushangaa sio utamaduni wao mangiii
NB
Kama hujajipanga usiende maana hutakua na majibu ya maswali tajwa hapo juu