Mokobe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2020
- 1,249
- 1,588
kuna mwanaume analala ukweni kweli?🙂Venye naona dada zangu walivyo na pilika za kwenda Moshi na Waume zao..loh
kuna mwanaume analala ukweni kweli?🙂Venye naona dada zangu walivyo na pilika za kwenda Moshi na Waume zao..loh
Unapiga ishara ya msalaba unamshujuru Mungu kwa uhai na uzima mengine yatakuja tu.Huu mfumo mgumu sana. Imagine wewe ndiye kidume kwenu halafu uko Dar unapambana na life unaishia kuwa bodaboda halafu mtoto wa jirani amekuja kula sikukuu akitokea Scotland na gari mpya zawadi kwa baba na mama
Kivipi mjomba..sijaelewa umemaanisha ninikuna mwanaume analala ukweni kweli?🙂
Hawa Waha wanaouza matunda Bongo ndio unasema ni matajiri?Kuna yule mchaga wa Arusha tena mzee wa Kanisa KKKT alikuwa analala na chatu chumbani kwake.
Siku alipojisahau akasafiri bila kufunga mlango chatu likatoka nje wananchi wakaliua na utajiri wa bwashee yule ukaishia pale pale.
Wachagga, Wakinga na Waha utajiri wenu mnauweza wenyewe!
Ukitaka kuona jiwe daudi alilompiga nalo Goliath.
Mwambie msichana wa kichaga akupikie maandazi
Mbona wachaga wanabrush viatu na ni matajiri bwashee?!Hawa Waha wanaouza matunda Bongo ndio unasema ni matajiri?
Vv
Naomba niwaite maswahiba zangu hapa tuanze kuria mbege...
Le Big Sam Babu Asprin aka mzee wa without 😅
Brudha wa Verossa Mentor aka baba naniliu .....😜
Sukari ya warembo Watu8 aka Msafiri wa Nissan nyeupe 🤪
Niko Lushoto huku hadi tarehe 18, tarehe 19 nateremka atayekuwa anaelekea kaskazini zaidi atoe taarifa mapemaaaa niongeze chupa za wine 🍷 😋
Hahahah.....kama vimefungwa POPNDO MANA NATAMANI SANA KUOA UCHAGANI ILA TATIZO VIUNO VYA MABINTI ZAO VIGUUUUMU
Sio kweli.Mambo ya ajabu wanafundisha watoto wao ujambazi hapa mjini
[emoji23][emoji23][emoji23] Siku izi viuno vyao vimelainika mkuu.NDO MANA NATAMANI SANA KUOA UCHAGANI ILA TATIZO VIUNO VYA MABINTI ZAO VIGUUUUMU
Inamaana wanaongoza kwa magari mengiNilichogundua tu Wachaga wakienda kwao, hapa Dar msongamano wa magari huwa unapungua na usafiri unakuwa faster! Sijui kama na ninyi mmeshaliona hili?
Wanaenda kutambika.
[emoji28][emoji28][emoji28]Karibu sana Kasie Matata wa mahaba
Wifi zako wameshaanza kulikoroga
View attachment 1648201
Na shemeji zako wameshaanza kuria...
View attachment 1648202
Mmmh jamani Uzee tabu sana..yaani ofa zote unatoa... na bado !! Unaukarimu kweli
Good Luck
Yebhe, kutiki go? Magambo ki?Hapana mimi ni Mkerewe [emoji6]
Haya mengine nadhani ni kuwasingizia tu, mimi nimeoa mchaga mkuu, sio kwamba nawatetea ila hup ndio ukweliNDO MANA NATAMANI SANA KUOA UCHAGANI ILA TATIZO VIUNO VYA MABINTI ZAO VIGUUUUMU
Kwaiyo n penzi kwanza pesa baadaeMKUU HIZO PESA BILA KUPATA MAPENZI MOTOMOTO NIJI FAIDA YAKE?
Karibu sana Kasie Matata wa mahaba
Wifi zako wameshaanza kulikoroga
View attachment 1648201
Na shemeji zako wameshaanza kuria...
View attachment 1648202