Hizi ndizo shughuli zinazowapeleka Wachagga Kilimanjaro kila mwaka

Haya mengine nadhani ni kuwasingizia tu, mimi nimeoa mchaga mkuu, sio kwamba nawatetea ila hup ndio ukweli

Nimewahi kuwa na mademu wa kabila mbalimbali lakini nilikoshwa na huyu bibie wa kichaga mpaka nikaamua kuweka ndani
Mr hongera tena, uyo mama mdogo wetu anaelekea ana bahati sanaa kuwa na wewe maan huu ni uzi mwingine nakuta sifa nyingi zinamwendea
 
Pia wadada wa kichaga wakishika mbupu wanazivuta Kama wanawasha jenereta

Asprin

Mentor

Kuna ukweli hapa ..... 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Kwahiyo biringanya za kichaga nyingi zimelepweta sana kwa kuvutwa kama swichi ya jenereta.....🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Mi siamini hadi nihakikishe ...... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ

Please excuse my ribs am inhaling weeds 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
wanatusingizia nipige picha muone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba kuuliza swali....Kuna nguvu ya uvutano/muungano/chemistry wa/ya aina gani kati ya Wachagga na Wahaya? Business and family wise?



By the way, napenda sana huu utamaduni wa kurudi nyumbani kila Mwaka and if ingetokea makabila ya Tz almost yote yakafanya hivi kila Mwaka even for just a couple of weeks, I think maendeleo yangekua yamesambaa at almost all corners of Tz.

We should all try this as a country!

Wote watanzania but still kila mmoja wetu ako na chimbuko lake, tuyaenzi machimbuko yetu!

It might pay going back to our roots!
Mcheza kwao hutuzwa/hutunzwa!

Kaskazini’s home loving spirit is my inspiration!

Hongera zenu! It takes guts to go back to where you started and face the music!! Ugly or Beautiful, it pays!

Salute!!
 
Ndio maana familia za kichagga lazima utakuta mzee kadedi. Ukiuliza unaambiwa wanawake wanawauwa, mmmmmmhmn kwa staili hii wanawake mnawaonea tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia wanaendaga kujifunza jinsi ya kupora mali za watu wengine. Kuua waume zao NK.
 
Ukijikuta kipato kinakupinga cheng's jitahidi kwenda kusalimia wazazi kipindi cha pasaka
 
Kiukweli mijini hakunaga sikukuu za mwaka mpya.sikuu ziko nyumbani.
Japokuwa mimi sio mchagga lakini katika hili nawafagilia.Pia mimi napenda Sana kwenda kwetu mwezi wa 12 kwa sababu ulizozitaja hapo juu ukiondoa kutambika,maana Mimi namwamini Mungu wa mbinguni na yeye huabudiwa mahali popote.

Ukienda na gari binafsi inapendeza maana inaondoa usumbufu,ukizingatia miezi hiyo inakuwa na mvua za vuli.pia linasaidia kwa safari za hapa na pale kusalimia ndugu na jamaa.

Binafsi naamini ni jambo jema linamfanya hata asiyenacho kujituma ili kuwanacho.
Jambo hili limewafanya vijana wa kichagga kupiga kazi kwa bidii mijini ilimradi pesa iingie.hongera wachagga ninyi ni mfano wa kuigwa.

Wenye elimu wasiotaka kujituma kwa kisingizio cha kukosa ajira hapa lazima uogope kwenda nyumbani.maana tafsiri ya elimu ni kujifunza ili uweze kuyatawala mazingira yako.ukiona plan A imekwama tumia elimu yako fanya plan B,utakuta maisha yananoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…