Hizi ndizo taasisi za afya zenye mishahara mikubwa

Dogo you don’t know kabisa unachoandika

Sekta ya afya haina mishahara mizuri

Hebu rudi shule tu uachane na sekta ya afya

Kasome hata procurement
 
walimu wanaofeli form 4 ndio wanakwenda ualimu ndiyo maana unadharaulika! Finland highest marks ndio wanakwenda kwenye ualimu
Wanaojielewa...sie useless tunapeleka waliofeli
 
Dogo you don’t know kabisa unachoandika

Sekta ya afya haina mishahara mizuri

Hebu rudi shule tu uachane na sekta ya afya

Kasome hata procurement
Ebo! Yaani nisome miaka 7 sijui 9 alafu nisilipwe mshahara take home wa million 45!!?? Sii bora nikaendeshe boda boda
 
Bora NHIF kidogo huko ulikotaja kote kawaida sana
 
Kuna taasisi hapo ukijumlisha mshahara (take home), posho ya masaa ya ziada, posho ya Ustawi, na activity unapokea wastani wa 3.5 M kwa afisa asiye na activities nyingi.
kama hiyo ni baada ya makato basi ni hela kubwa kwa kweli, maana kuna taasisi zingine hiyo ndio hela anapokea manager tena ni gross, ikipata makato anabakiwa na kama 2.1m hvi. taabu kweli kweli
 
kama hiyo ni baada ya makato basi ni hela kubwa kwa kweli, maana kuna taasisi zingine hiyo ndio hela anapokea manager tena ni gross, ikipata makato anabakiwa na kama 2.1m hvi. taabu kweli kweli
Mbona nimefafanua vizuri mkuu??
 
Hapo hamna MSD kwa JKCI na Moi sawa ila kwa MUHIMBILI hapana hizi za bongo JKCI wanaenda kujilipa wenyewe viwango vya mishahara yao ivi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…