Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Basi sawa mkuu...😊Kwa taasisi au kwa serikalini ni mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa mkuu...😊Kwa taasisi au kwa serikalini ni mkubwa
Maji ya kifuu ni bahari ya chunguMleta mada chenga tu yani anaongelea salary ya mwalimu wa chekechea 1.5
umeridhikaBasi sawa mkuu...😊
ushazipata huwezi sema kama huna helamshahara ni utumwa
AiseeMaji ya kifuu ni bahari ya chungu
umeshaugua
Haya leta taasisi zako za serikali zenye misharahara zaidi ya hizo (lakini ziwe za afya)Hamna lolote hapa usidanganye watu
Mishahara bado haikidhi mahitaji
Kazi ni nyingi mno
Nipee iyo kazi mkuuKama upo veri tafu na ni jasiri kuna sekta ya uafisa kwenye mapori ya Longido ipo wazi🐼
Hivo eeeh 🤣🤣🤣 basi sawaMaji ya kifuu ni bahari ya chungu
Kwaiyo ww mshahara wako ni sh ngpa Evelyn SaltHivo eeeh 🤣🤣🤣 basi sawa
Mshahara wangu unagonga hapo uliposema minono ndio maana unavosema mishahara minono ya huko nimeshangaa.....Kwaiyo ww mshahara wako ni sh ngpa Evelyn Salt
PM yako unafungua saa ngap tutete jambo😂😂Mshahara wangu unagonga hapo uliposema minono ndio maana unavosema mishahara minono ya huko nimeshangaa.....
Sikopeshi 😹😹😹😹PM yako unafungua saa ngap tutete jambo😂😂
Walaah mi nataka independend woman wakubadilishana mawazo😂Sikopeshi 😹😹😹😹
Nimeamua kukupuuza tuumeridhika
.umeshaugua